Manchester United yapokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Brighton ligi kuu Uingereza.

0

Timu ya Manchester United ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Brighton,mechi ya ligi kuu uingereza iliyochezwa majira ya saa 4 jana usiku. Goli lililofungwa na Pascal Gross katika dakika ya 57,Na Man United wamesalia na pointi zao 77 huku wakiwa mamecheza michezo 36. Tazama Msimamo.

Hiki ndicho Kinachomsumbua Dolnad Ngoma Daktari wake Atoboa Siri.

0

MASTAA wa Yanga, Donald Ngoma na Amissi Tambwe, bado ni majeruhi na hawatarajii kurejea uwanjani hivi karibuni, sasa daktari mmoja mtaalam wa afya za wachezaji amefichua siri ya majeraha ya mastraika hao.Siyo Ngoma anayesumbuliwa na misuli na Tambwe anayeumwa goti, pia Haruna Niyonzima wa Simba naye ni majeruhi wa muda mrefu akisumbuliwa na kifundo cha mguu.Sasa Daktari Mwanandi Mwankemwa...

Mandojo Afunguka Thamani ya Nyumba Yake Iliyovunjwa…. Asema ni Zaidi ya Milioni 150.

0

Msanii mkongwe wa Bongo Flava, Man Dojo amesema nyumba yake iliyovunjwa ilikuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 150.Man Dojo amesema kiasi hicho cha fedha ni makadirio kutokana na mali ambazo zilikuwa katika nyumba hiyo.“Ile nyumba kwa thamani yake ni zaidi ya Milioni 150, kwa sababu pale nilikuwa na mafremu, nilikuwa na studio, nilikuwa na nyumba yenyewe, mifungo,...

Tunda Akinukisha Tena Amtolea Povu Hamissa Mobetto Kisa Daimond.

0

KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa Mobeto baada ya kumpa mashuti kuwa amejidhalilisha kurudiana na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa mujibu wa chanzo makini, Tunda ambaye aliwahi kuripotiwa kutoka kimapenzi na Diamond, amechukizwa na kitendo cha Mobeto kujipeleka kwa msanii huyo wakati...

Kuhusu Kurudi Lissu Familia Yafunguka Haya.

0

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai mbunge huyo anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote baada kupona majeraha ya risasi anayotibiwa huko Ubelgiji.Alute ambaye pia ni Mwanasheria wa kujiegemea, amesema Lissu anatarajiwa kufanyiwa operesheni nyingine hivi karibuni huku akitoa rai kwa Watanzania kuendelea kumchangia ili...

Joti Atoa Ufafanuzi Kuhusu Kubomolewa kwa Nyumba Yake.

0

Kufuatia  nyumba yake iliyopo Kisarawe kupigwa alama ya X huku akisemekana anatakiwa aibomoe kupisha upanuzi, Komedian maarufu nchini, Lucas Mhavile ‘Joti’ amefungukia tukio hilo ambalo limevuta hisia kwa mashabiki wake na Watanzania wengine waliotaka kujua undani wake.Joti ameema; “Wanapanua barabara huku kwetu, lakini upanuzi huo wa barabara hauhusiani kabisa na ubomoaji wa nyumba, wengi wanajua nyumba yangu ndiyo inabomolewa,...

Mwigulu Nchemba: Wasioridhishwa na utendaji wa polisi waripoti kwangu.

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Dk Mwigulu Nchemba amewataka wasioridhishwa na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi kukata rufaa kwake.Pia, amewataka wanasiasa wanaozungumzia matukio ya kupotea watu kuwa na ushahidi wa kutosha na kama hawana wasiyazungumze kwani yanajenga taswira hasi kwa nchi.Ametoa kauli hiyo wakati akijibu hoja za wabunge walizozitoa katika mjadala wa bajeti ya wizara hiyo...

Mbunge Aibua Sakata la Vifo vya Mtikila na Chacha wangwe Bungeni.

0

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Janeth Masaburi amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba kutoa taarifa bungeni juu ya vifo vya wanasiasa Chacha Wangwe aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila.Wangwe ambaye alikuwa mbunge wa Tarime kwa tiketi ya Chadema alifariki dunia Julai 27 mwaka 2008 katika ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya...