Tamko Rasmi la Wizara Ya Elimu Kuhusu Kitabu Kinachosambazwa Mitandaoni.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeibuka na kukanusha vikali kuwa kitabu kinachosambazwa katika mitandao ya kijamii kinachoelezea viungo vya mwanadamu sio chapisho la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na wala sio miongoni mwa vitabu ambavyo vimesambazwa shuleni.Hayo yamebainishwa na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kupitia Wizara ya Elimu Mwasu Sware hii leo Mei 04,...
Mrembo Zari Hassan Ajinunulia Zawadi ya Ndinga Mpyaa.
Baada Ya Davido kumzawadua Mpenzi wake Chioma gari wabongo walimsema sana kuwa Mond hajawahi mnunulia hata Rav 4.Hatimaye Bibie kajibu mapigo.Hongera kwake Hard work pays. She's one in a Million.
Mrembo Sidika Aweka Wazi majibu yake ya UKimwi.
Video vixen kutoka nchini Kenya, Vera Sidika ameweka wazi majibu aliyoyapata mara baada ya kwenda kupima Ukimwi.Mrembo huyo amepima ugonjwa huo hatari duniani akiwa na mpenzi wake Otile Brown ambaye ni msanii wa muziki nchini humo.Vera Sidika ametumia mtandao wa Snapchart kuonyesha majibu ya vipimo vyao ambayo yanaonyesha wote wawili kutohathirika.Utakumbuku kipindi cha nyuma mrembo Huddah Monroe aliwahi kudai...
Ndalichako aagiza hawa wakamatwe.
Prof. Joyce Ndalichako ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaka watu wanaosambaza kitabu mitandaoni chenye picha ya mwili wa binadamu huku kikiwa kimekosewa na kuongeza kwamba watu hao wana nia ya kuichafua serikali.Uamuzi huo umetolewa katika mkutano wa kumi na moja wa Bunge la Jamhuri ya muungano unaoendelea jijini Dodoma unaojadili mapendekezo ya bajeti ya mapato na matumizi ya...
Makonda,Erick Shigongo na Jux wampa nguvu Walter Chilambo.
Msanii wa nyimbo za Injili nchini Walter Chilambo ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Only You' amepewa nguvu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Erick Shigongo pamoja na msanii Jux katika kuhakikisha wimbo wake huo unawafikia watu.Kutokana na ujumbe ambao upo ndani ya wimbo huo na uzuri wake pia umemlazimu Mkuu wa Mkoa...
Mwakyembe,AG Washtakiwa.
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara leo imetoa zuio la muda( temporary injuction) linalozuia matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulation) ambazo matumizi yake yalipaswa kuanza rasmi Mei 5, 2018.Mahakama imetoa zuio hilo baada ya taasisi sita kuwasilisha mahakamani maombi ya kuzia matumizi ya Kanuni hizo April 30, mwaka huu.Taasisi zilizowasilisha maombi hayo mahakamani ni Legal and...
Waziri Mwakyembe atoa angalizo kuhusu mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa angalizo kwa Watanzania kuwa mitandao ya kijamii ni tofauti kabisa na vyombo vya habari kwa sababu habari zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii ni maoni ya watu binafsi na hayawasilishwi kitaalamu kama vyombo vya habari vinavyofanya.Waziri Mwakyembe amesema hayo leo Mei 3, 2018 kwenye mdahalo maalumu ulioandaliwa na Shirika...
Alichokisema John Heche Baada ya Kumzika Mdogo Wake “Sitarudi Nyuma Nitapambana Mstari wa Mbele”
MBUNGE wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amesema kutokana tukio la kuuawa kwa mdogo wake Suguta Chacha kwa kuchomwa kisu na askari polisi haturudi nyuma kupigania haki za watu ili haki na usawa kushamiri katika nchi.Heche amesema hayo leo Ijumaa, Mei 4, 2018 ikiwa ni siku moja baada ya mazishi mdogo wake huyo na kusema mdogo wake ameuawa...
Baba Levo Apandishwa Kizimbani kwa Kosa Hili.
Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo amepandishwa kizimbani leo Ijumaa Mei 4, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma akikabiliwa na mashtaka matatu.Wakili wa Serikali, Antia Julius amesema mshtakiwa huyo alitenda makosa hayo April 12, 2018 katika Zahanati ya Msufini iliyopo Kata ya Mwanga Kaskazini.Amesema mshtakiwa huyo ambaye pia ni msanii...
Ni Bora Ule Sumu Kuliko Kula Hela ya Serikali ya Awamu ya Tano-Rais Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kula hela za serikali ni sawa na kula sumu na nafuu ule sumu kuliko kula hela ya serikali ya Awamu ya Tano.Rais Magufuli ameyasema hayo leo Mkoa Morogoro katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kidatu – Ifakara mkoani Morogoro amesema kuwa haiwezekani yeye ahaingikie kukusanya...