Yanga Yaondoka Kwenda Algeria Saba Wagomea Safari.
KIKOSI cha Yanga kimeondoka kwenda nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wapinzani wao, USM Alger huku wachezaji saba wakidaiwa kugomea safari hiyo.Yanga ambayo iliondoka jana Alhamisi, inatarajiwa kuvaana na Alger katika mchezo wa Kundi D utakaopigwa keshokutwa Jumapili, wakiwa kundi moja na timu za Rayon Sport ya Rwanda na Gor...
Sijawahi ku-Date na Star Yoyote Hapa Bongo, Watu Hawatumii Akili–Ommy Dimpoz.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na mwanamke yeyote maarufu nchini Tanzania na matukio yote ambayo yalikuwa yanatokea kipindi cha nyuma yalikuwa ni kiki tu.Ommy Dimpoz amedai kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na wanawake yeyote maarufu wa kibongo na hata stori za kutoka kimapenzi na Wema Sepetu haikuwa kweli.“No, Sijawahi ku-date na msichana...
Jenifa Mgendi Apewa Dili Nono Serikalini.
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni muigizaji nwa filamu Jenifer Mgendi, ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya filamu nchini.Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sana na michezo, ambayo imetolewa rasmi May 2, mwaka huu.Kwenye uteuzi huo wajumbe wengine watano wameteuliwa na kufanya idadi ya kuwa wajumbe sita, na imeelezwa kwamba uteuzi huo umefayika April...
Diwani na Msanii Baba Levo Apandishwa Kizimbani Kwa Kutoa Kichapo Kwa Muuguzi.
Msanii wa Bongo Fleva Levocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mwanaga Kaskazini katika Manispaa ya Kigoma Ujiji amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya mkoani Kigoma kwa tuhuma za kumpiga muuguzi wa zahanati ya Msufini.
Qeen Darleen Ampa Ujumbe Mzito Harmonize “Punguza Uhuni Unamtesa Mzungu wa Watu”
First Lady kutoka Label ya WCB, Queen Darleen ametoa ushauri mzito kwa Harmonize kuhusu maisha yake ya kimuziki na mahusiano.Muimbaji huyo amemshari Harmonize kutokata tamaa na muziki wake ingawa watu wa kumkatisha tamaa wapo, huku akimsisitiza kuwa kuepeka kuwa katika mahusiano na wanawake wengi.“Apunguze uhuni, atulie, mtoto wa watu masikini ya Mungu, Mzungu (Sarah) anampenda, yeye muhuni. Mdogo wangu...
Mambo ni Hivi Mke wa P Funk Agoma Kumuachia Nyumba Kajala “Nitapambana Hadi Kieleweke”
Mke wa Prodyuza maarufu na mkongwe kwenye mziki wa Bongo fleva P Funk majani, Samira ameibuka na kudai atapambana na Kajala na kamwe hatamuachia nyumba.Kwa Miezi kadhaa Kumekuwa na tetesi kuwa PFunk na Ex wake ambaye pia ni mama watoto wake aliyezaa naye mtoto mmoja Kajala wamerudiana kitu kinachomuweka Pabaya mke wa Pfunk ambaye hivi sasa ni mjamzito.Samira ambaye...
Mkutano Mkuu wa Dharura Waitishwa Simba Mo Dewji Kukabidhiwa Timu?.
Baada ya Simba kufanya mkutano wa kubariki mabadiliko ya mfumo Desemba 11, 2016 na wanachama kukubali, Desemba 3, 2017 pia wanachama kwa pamoja walimpitisha Mfanyabiashara Mo Dewji kwaajili ya kuwekeza klabuni hapo na sasa wanaelekea kumkabidhi timu.Hatua hiyo imekuja baada ya klabu hiyo kuitisha mkutano wa wanachama utakaopitisha Katiba mpya ambayo itatoa baraka rasmi za mfumo mpya wa Hisa...
Kisa Harusi Bongo Movie Wamtolea Uvivu Alikiba.
Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuangusha bonge la sherehe ya harusi katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar, wasanii wa Bongo Muvi wameibuka na kumtolea uvivu staa huyo.NI KWA NINI?Mastaa hao wa Bongo Muvi, wamedaiwa kumtolea uvivu AliKiba kwa kitendo chake cha kutowaalika katika sherehe yake hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita.MSANII AVUJISHA...
Nandy “Nimekataa Kuuza Nguo za ndani Baada ya Makampuni Mengi Kunifuata”
Mwimbaji staa wa Bongofleva Nandy ambae juzi kati alikaa kwenye headlines na ishu ya kusambaa kwa video yake ya chumbani na Billnass, ameongea kwa mara ya kwanza na AyoTV na millardayo.com kuhusu kutangaza nguo ya ndani, tazama hii video hapa chini uone kila alichosemaVIDEO:
Sina Hamu na Mwanamke Yoyote Hata Awe Mzuri Kiasi Gani.
Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women kwani ni kama neno lisilo sahihi.Nina mke wa muda mrefu sasa na mtoto mmoja, tulioana kwa upendo sana hasa mimi nikiwa na furaha sana kwenye ndoa yangu, lakini cha ajabu mambo yalibadilika sana mara nyingi...