Nilimfumania Mwanamke Wangu na Jamaa Mwingine Kitandani,Nikamsamehe..Baada ya Mwezi Ananiambia Ana Mimba yangu.

0

Nilimfumania mwanamke wangu na jamaa mwingine chumbani kwetu kitandani kwetu. Nilimwacha kwa muda lakini alirudi na kuniomba msamaha tukarudiana. Ila sasa ananiambia ni mjamzito alivyoniambia tu ni mjamzito hasira zimenirudi. Sijui ni ujauzito wangu au sio. Na pia sina uhakika kama ameshaachana na yule jamaa niliyemfumania nae ama la.Naombeni ushauri.

Jini Mahaba Linavyonitesa Linaniingilia Mpaka Kinyume na Maumbile..Msaada.

0

Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau.Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto wangu nilikuwa ni mtu mwenye akili sana.Kuanzia la standard 1 mpaka form 4 nilikuwa naongoza nikishuka sana nakuwa mtu wa pili au wa tatu.Kifupi nilizaliwa nikiwa...

‘Hii ilikuwa Mara ya Kwanza Kumuibia’-Kijana Aliyenasiwa na Mzigo wa Wizi Afunguka.

0

Kijana Frank Joseph mwenye umri wa miaka 23 ambaye anaishi Dar es Salaam, Mbezi Mwisho amefunguka na kusema kuwa ni kweli aliiba mzigo huo japo kwake ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kumuibia mama huyo. Kijana Frank amesema kuwa baada ya kuiba mzigo Mlandizi mkoani Pwani baadae ulikataa kutoka kichwani mpaka pale alipopigiwa simu muhusika ndipo alikuja kutokea Dar es Salaam...

Mwambie Diamond apatane kwanza na Baba yake ndio arudi kwako,Diamond ni mswahili na Mnafiki usimuamini.

0

Mdau Kaamua Kufunguka:Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka kupatana na wewe na muwe kitu kimojaMwambie akapatane kwanza na baba yake mzazi ambaye anamchukia ndio arudi kwako, haiwezekani mtu ashindwe kumsamehe au kupatana na mzazi wake aliyemtoa kiunoni...

Mke wa P Funk Aapa Kupambana na Kajala Anayetaka Kuvunja Ndoa yao.

0

MKE WA prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’, Samira amefunguka kuwa licha ya kukutana na mitihani mingi ndani ya ndoa yake lakini kamwe hatokubali kuondoka nyumbani kwake na kumuachia nyumba muigizaji Kajala Masanja ambaye ni mzazi mwenziye na mume wake, kama alivyokuwa amepanga awali na atapambana naye. Akizungumza kwa uchungu sana, Samira alisema kila uchwao anakutana na kashfa nyingi...

Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili.

0

Wakazi wa eneo LA Iwambi lililopo Jijini Mbeya wamekumbwa na Taharuki baada ya jeneza kukutwa eneo la makaburi ya Iwambi Hulu likiwa halina mwili Japo ndani yake limekutwa limepakwa damu pamoja na dawa za kienyeji zikiwa zimehifadhiwa Ndani ya jeneza hilo.

Staili ya Ushangiliaji ya Haji Manara ya Ushangiliaji Yamtokea Puani Apewa Onyo Kali na Kamati ya Ulinzi.

0

Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wake Yanga mwishoni mwa wiki.Furaha hiyo ilimfanya msemaji wao kuingia uwanjani kumalizia shangwe na mashabiki wao.Lakini Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa) katika kikao chake cha Mei Mosi, 2018 chini ya Mwenyekiti wake, Clement Sanga ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, na...

Mwizi Ajisalimisha Polisi Baada ya Mzigo Alioiba Kumnasa.

0

KIJANA Frank Japhet (23), mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, amelazimika kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mlandizi, Kibaha, Pwani, baada ya mzigo wa mahindi unaokadiriwa kuwa na uzito wa kilogramu 20, anaodaiwa kuuiba kung’ang’ania mabegani. Wakati akihojiwa kituoni hapo, mtuhumuwa huyo amesema mzigo huo, uliofungwa kwenye kiroba aliuiba kwa mama mmoja eneo la Mtaa wa Nyambwiro, Mlandizi, Kibaha, mkoani Pwani...

Bodi ya Ligi Yamsimamisha Kelvin Yondani Kuchezea Yanga.

0

Bodi ya Ligi Tanzania, imetangaza kumsimamisha beki wa Yanga, Kelvin Yondani kutokana na kuonekana katika video akimtemea mate beki, Asante Kwasi.Mtendani wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amezungumza hivi punde na kusema suala lake limepelekwa Kamati ya nidhamu baada ya kuonekana haliwezi kusikilizwa na Kamati ya Saa 72 iliyokaa."Kwa hiyo sasa tunamsimamisha hadi hapo kamati itakapokaa na kuamua kuhusiana...