Rais Magufuli Awajibu Wanaokosoa Mpango wa Walimu wa Sekondari Kupelekwa Shule ya Msingi.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewajibu watanzania ambao wanakosoa mpango wa serikali wa kuwapeleka walimu wa sekondari kufundisha shule ya msingi.Rais Magufuli amesema kuwa kitendo hicho ni cha kawaida kwani hakiadhiri mishahara yao bali kinawapa muda mwingi walimu hao kufanya kazi nyingine za ziada. “Wakati wa Nyerere walikuwa wanachukuliwa walimu wa UPE kwenda...

Kwani Kusoma ni Kujua Kiingereza? – Rais Magufuli ahoji.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amehoji wanafunzi wa chuo cha Mkwawa iwapo  kujua kusoma ni kujua Kiingereza.Rais Magufuli ameyasema hayo jana , Mei 2 wakati akizungumza na wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa, kilichopo mkoani Iringa wakati akitoa ufafanuzi wa shule za private na shule za Sekondari.''Eti mtu amemaliza...

Mabosi wa Kampuni Iliyokuwa na Mkataba na Mzee Majuto Waswekwa Rumande.

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna Kampuni iko Mwanza iliingia Mkataba na King Majuto na Mkataba huo ulikuwa ni wakumlipa Milioni 24 wakatoa check, check hiyo ikawa haina Pesa, Hivyo serikali imewachukulia hatua wahusika. “Naomba niwaeleze wananchi Nimeunda jopo la wanasheria na tumeshaanza kikao cha kwanza sasa hivi kazi yetu kubwa kwasababu tumeshaanza...

Msanii Majuto Kuomba Msaada ni Udhalilishaji–Mlela Afunguka.

0

Muigizaji wa filamu Bongo Yusuph Mlela, amesema kitendo cha Mzee Majuto kuomba msaada kwa watu mbali mbali ili aweze kwenda kupata matibabu,ni udhalilishaji mkubwa.Mlela ameyasema hayo kwenye eNewz ya East Africa Television, na kueleza kwamba wao kama wasanii wanatakiwa wajifunze, kwani kitendo cha msanii mkubwa kama yule kukosa matibabu kwa kutokuwa na pesa sio kitu sahihi na inaonesha ni...

Wema Sepetu Abadili Gia Wasafi TV,Atupilia Mbali Kipindi Chake.

0

Baada ya Mrembo Wema Sepetu kuweka wazi anakuja na TV Show yake ndani ya Wasafi TV, amefunguka nini hasa kinaendelea kwa sasa.Kipya cha kufahamu ni kwamba kipindi hicho cha Wema Sepetu hakitakuwa reality show kama ilivyokuwa mwanzoni kikiruka EATV. “Kitakuwa ni kipindi cha tofauti tutakuwa wanadada watatu. Sitapenda kuweka wazi zaidi lakini haitakuwa reality show, kama itakuwa ni reality show...

Bill Nass Afunguka Kuhusu Picha Zake Zinazosambaa Mtandaoni.

0

Rapa Billnass ambaye anatamba na ngoma ya 'Tagi Ubavu' amefunguka na kudai kipindi hiki kigumu anachokipitia kwa watu kuweka picha zake mitandaoni zikiwa zinamzungumzia ndivyo sivyo zinampa nafasi kubwa ya yeye kuwajua watu zaidi jinsi akili zao zilivyo katika kutafakari baadhi ya mambo.Billnass amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI baada ya kuulizwa swali na muongozaji wa...

Baraka Da Prince Amtandika Mimba Mchepuko Wake na Kuikataa.

0

Mwanamuziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amekumbwa na skendo nzito ya kumpachika mimba mwanamke mwingine ambaye ni mchepuko wake na sasa anadaiwa kuikataa mimba hiyo.Miezi michache iliyopita kuna tetesi zilisambaa kuwa Barakah alionekana mkoani Mwanza na mwanamke mwingine ambaye ilidaiwa ni mchepuko wake wakila bata Kwenye hoteli ya kifahari.Barakah alikana tetesi hizo na kudai kuwa ana mpenzi mmoja...

Liverpool Yatinga Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.

0

Liverpool wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya AS Roma ya Italy.Liverpool imetinga hatua hiyo baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-2 ugenini, lakini inasonga mbele kufuatia ushindi wa 5-2 katika mechi ya mkondo wa kwanza ikiwa nyumbani.Liverpool imejipatia mabao yake kupitia kwa Sadio Mane pamoja na Wijnaldum, hivyo imekuwa tiketi ya kukutana...

Wema Apata Dili Nono Kombe la Dunia Star Times Yampa Balozi.

0

Msanii wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, akizungumza jambo kwa niaba ya wasanii wenzake  mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mabalozi wa StarTimes.Mkurugenzi wa StarMedia Tanzania, Wang Xiaobo,  mwenye suti akiwakabidhi madishi ya televisheni mabalozi hao.…Akijiandaa kupiga mpira ulio mbele yake kuashiria rasmi shughuli ya uzinduzi huo.Meneja Masoko  wa StarTimes, David , akielezea namna watakavyofanikisha zoezi la urushaji matangazo yote...

Bill Nass na Nandy Waungana Tena.

0

Wiki Kadhaa baada ya Video yao ya uchi kusambaa mitandaoni, Bill Nass amefunguka kuwa tayari kuna kuna ngoma ameshafanya na Nandy muda ukifika wataachia.Hit maker huyo wa Tagi Ubavu amesema hayo katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV na kuongeza kuwa mrembo huyo ni rafiki yake tu kwa sasa.“Kuna wimbo tumefanya pamoja, wimbo umefanywa chini ya S2kizzy hivyo naamini muda...