Rais Magufuli Anusa Ufisadi wa Bilioni 8 Ukumbi wa Chuo cha Mkwawa….Atoa Maagizo Mazito Kwa Vyombo vya Dola.
Rais John Magufuli amefichua siri ya kukataa kuweka jiwe la msingi katika ukumbi wa jengo lililopo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa mkoani Iringa akisema limejengwa kifisadi kwa Sh 8bilioni.Rais ameeleza hayo jana, Mei 2, 2018 wakati akizungumza na wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo."Muda mwingine tuambizane ukweli Chuo cha Mkwawa...
Serikali Yasema Nondo akishinda kesi Atarejea chuoni.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) Abdul Nondo amesimamishwa masomo ili kulindwa, asipoteza sifa za kuwa mwanafunzi wa chuo hicho.Kusimamishwa chuo kwa Nondo, kuliibua mjadala mkali wakati wa kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakidai hatua hiyo ni aibu kwa chuo hicho.Akijibu...
Abaka Mwanafunzi wa Darasa la Pili Akimhaidi Kumpa Andazi.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Amos Meshack (36), mfanyabiashara wa udongo wa pemba, kwa tuhuma za kubaka mtoto wa umri wa miaka tisa, mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ndala A Manispaa ya Shinyanga.Tukio hilo lilitokea juzi mchana nyumbani kwa mtuhumiwa huyo, Kata ya Ndala.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule alisema chanzo cha...
Real Madrid watangulia fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Usiku wa May 1 2018 mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Real Madrid dhidi ya FC Bayern ulichezwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid nchini Hispania, Bayern wakiingia na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza nyumbani kwa magoli 2-1. FC Bayern wakiwa ugenini walianza na kasi na dakika ya 3 ya mchezo wakafanikiwa...