Ahadi ya Rais Magufuli Kwa Wafanyakazi Baada ya Kushindwa Kuwapandishia Mishahara Mwaka Huu.

0

Katika hotuba yake leo kwenye maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa Mkoani Iringa, Rais Magufuli ameahidi kupandisha mishahara kwa kiasi kikubwa kabla hajamaliza awamu yake ya uongozi. ''Kipindi changu cha Urais hakitaisha kabla sijapandisha mishahara wafanyakazi. Na mimi nataka niwaeleze kupandisha kwangu kutakuwa si kwa elfu kumi, kutakuwa kupandisha kwelikweli'', amesema Rais Magufuli. Aidha Rais Magufuli ameweka wazi...

DFG Universal Music watoa top 10 ya wasanii Bongo,Kiba ashika namba 5 nyuma kidogo ya Aslay.

0

Wakuu kampuni Kubwa ya muziki , AR na burudani Afrika (HQ Johannesburg South Africa and Lagos Nigeria) DFG Universal Music muda mchache uliopita wametoa top 10 ya wasanii wa Tanzania kupitia kituo cha TV cha TRACE,wanadai wameangalia influence kwny s/network, mkwanja,viewship,trending ,hela, shoo na vitu kibao wamevitaja. Utafiti wao uliwafuatilia wasanii kadhaa waliojuu kwa kipindi cha miezi 9 iliyopita.Hii...

Jack Pemba Avujisha Video yake ya Ngono.

0

Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini humo baada ya video yake akiwa anakula tunda bila chenga kuvuja huku ikidaiwa kaivujisha mwenyewe.Video hiyo ambayo anaonekana akiwa na mdada ajulikanaye kama Honey Suleman ambaye inasemekana ni rafiki...

Polisi Aliyemkodi Mwenzake ili Amtie Mimba Mkewe,Amfikisha Mahakamani kwa Kushindwa Kumtia Mkewe Mimba.

0

Dar-es-Salaam, Mahakama ya Tanzania lazima iamue juu ya madhumuni ya kiheshima katika kesi ambapo mtu alimuajiri/alimkodi jirani yake ili kumpa mke wake ujauzito. Inaonekana kwamba Darius Makambako 50 na mke wake Precious 45,walitaka kuwa na mtoto,lakini daktari aliwaambia wanandoa hao kuwa mwanaume hana kizazi.Hakukuwa na shaka,lakini wanandoa hao walikuwa wamechoka kuwa katika ndoa ya miaka 23 bila watoto. Hivyo Makambako,mwanachama wa Jeshi...

Ajiua kwa kunywa sumu kisa kuachwa na Mke.

0

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwabulambo .MWANAMUME mmoja mkazi wa Katoro mkoani Geita aliyetambulika kwa jina la Maganiko Nunda amejiua kwa kunywa sumu kufuatia mgogoro ulioibuka baina yake na mke wake siku hivi karibuni huku chanzo cha mgogoro huo kikidaiwa kuwa ni unywaji wa pombe kupindukia uliosababisha mkewe kumkimbia.Akisimulia tukio hilo, mtoto wa marehemu amesema baada ya...

Video | Davido–Assurance

0

Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria, Davido ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Assurance. Itazame hapa.

Rais Magufuli Agoma Kupandisha Mishahara,Sababu Hizi Hapa.

0

Katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Iringa leo Mei Mosi 2018, Rais Magufuli amesema hawezi kupandisha mishahara kwa sasa kama ilivyoombwa na Wafanyakazi kupitia TUCTA kwa sababu fedha zote zinatumika katika kufanya mambo makubwa.Miongoni mwa mambo hayo ni ulipaji wa madeni mbalimbali, kuajiri watumishi wapya, kutoa elimu bure, kuongezwa kwa bajeti ya afya, mradi wa umeme wa maji wa...

Barakah The Prince Afunguka Ishu ya Kusaini WCB.

0

Msanii wa muziki Bongo, Barakah The Prince amefunguka kuhusu tetesi za kujiunga na label wa WCB.Muimbaji huyo ameiambia Rick Media kuwa WCB ni kama familia yake ila suala la kujiunga na label hiyo halina ukweli wowote.“Hapana, WCB ni kama familia yangu, mara nyingi hata mameneja wa WCB ndio wanakuwa wananiongoza na kunielekeza nifanye nini,” amesema Barakah.“Kwa hiyo tumeamua kuwa...

Rais JPM Aagiza Aliyemlilia Apimwe Kizazi.

0

Rais John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa Mkuu wa Mkoa Iringa pamoja na RPC mkoani humo kumpatia msaada mwanamama Salmakoni Sanga ikiwa ni pamoja na kumpima kama kweli ametolewa kizazi baada ya kudai kushambuliwa na kijana aliyemtaja kwa jina la Mussa.Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kumaliza kuhutubia katika sherehe za Mei Mosi mkoani Iringa ambapo mama huyo...

Aunt Ezekieli Kuigawa Bure Filamu yake Mpya.

0

Mwigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel amesema anakusudia kuwagawia bure filamu yake mpya Mama ni Mungu wa Dunia atakayoizindua Mei 13 mwaka huu, wageni wote watakaofika siku hiyo.Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Aunty amesema lengo la kufanya hivyo ni kuwafikishia ujumbe alioukusudia watu wengi ziadi.Amesema alipata wazo la kuufikisha ujumbe uliobebwa katika filamu hiyo baada...