Rais JPM Atoa Agizo Hili kwa Waziri Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwashughulikia viongozi wanaowahamisha watumishi wa Umma bila kuwalipa stahiki zao.Akiongea leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), mkoani Iringa Rais Magufuli amesema jambo la kuhamisha wafanyakazi bila kuwalipa ameshapiga marufuku hivyo kama kuna kiongozi bado anafanya hivyo ni lazima ashugulikiwe.''Kama patakuwepo...
Beki wa Liverpool Ajirekodi Akicheza Acha Waoane ya Daimond na Chege.
Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.Ngoma Waache Waoane ilitoka Augost 4, 2016, wimbo huo uliotayarishwa Wasafi Records hadi sasa una views Milioni 8.3 katika mtandao wa YouTube.
Waziri Mahiga Aomba Radhi kwa Rais Magufuli Kisa Hiki Hapa.
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Augustino Maiga ameomba radhi kwa Rais Magufuli kwa niaba ya watu wa Iringa kwa kukosa kura 25 za udhamini kipindi cha kampeni za uchaguzi 2015.Balozi Maiga ameomba radhi hiyo leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa inafanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.“Nakumbuka Mhe. Rais ulipata shida...
Samatta Awaonya Serengeti Boys ” Tulizeni Vichwa Madogo Tusije Kusikia Mmeanza Kuoa”
Nahodha wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Ally Samatta amewapongeza vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kwa kutwaa ubingwa wa CECAFA Challenge U-17 nchini Burundi.Serengeti Boys Jumapili ilifanikitwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Challenge U-17) kwa kuwafunga vijana wa Somalia, mabao 2-0 yaliyofungwa na Edson Jeremiah...
Maelfu Waandamana ili Rais Ajiuzulu.
Maelfu ya raia wa Malawi mwishoni mwa wiki wameandamana kuipinga serikali katika maandamano ya kwanza tangu mwaka 2011.Maandamo hayo yaliyoandaliwa na mashirika ya kiraia yamefanyika katika miji sita nchini humo kupinga vitendo vya ufisadi na utawala mbovu chini ya Rais Peter Mutharika, ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu 2014.Katika maandamano ya July 2011 dhidi ya serikali, polisi walifyatua risasi na...
Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke.
1.PAPARAwanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2.KUJIFAKEwanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno 3.KUTOSOMA...
Amuuwa Mpenzi wake kwa Kumnyonga shingo,Mwanza.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana aliyefahamika kwa jina la Nicholas Light (25) mkazi wa Mtaa wa Mahama Ilemela kwa kunyonga mpenzi wake Victoria Swai (26).Inadaiwa kijana huyo alifanya mauaji hayo kwa kumkaba shingo mpenzi wake huyo hali iliyopelekea kukosa hewa na baadae kufariki dunia.Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa kifo hicho...
Chid Benz azikana taarifa za kuokoka, ‘Nilialikwa kama mgeni rasmi’.
Msanii wa muziki Bongo, Chid Benz amefunguka ukweli wa taarifa zilizodai kuwa ameamua kuokoka.Taarifa hizo zimeibuka mara baada ya kuoneka katika moja ya makanisa, pia akiwa na muimbaji wa nyimbo za Injili, Bony Mwaitege. Rapper huyo akizungumza na EATV amesema alialikwa kanisani hapo kama mgeni rasmi wa shughuli iliyokuwa ikiendelea na hakuna zaidi ya hapo. “Nilialikwa pale kama mgeni rasmi, kulikuwa...
Makanisa yanayotoa huduma za maombi usiku yapigwa marufuku.
Makanisa ambayo yanatoa huduma ya maombi nyakati za usiku yamepigwa marufuku na serikali nchini Kenya kufanya hivyo. Serikali katika Kaunti ya Narok imesema kuwa maombi hayo yanapelekea mimba za utotoni kuongezeka wengi wao wakiwa ni wanafunzi. Amri hiyo imetolewa na Kamishna wa Kaunti ya Narok, George Natembeya Ijumaa ya wiki iliyopota. Ambapo amesema kwa mujibu wa takwimu za Kaunti hiyo zinaonesha wastani...