Aslay akiri kifo cha Masogange ‘kupoteza’ ngoma yake

0

Msanii wa muziki Bongo, Aslay amesema ngoma yake ya mwisho kutoa ‘Kwa Raha’ licha kuendelea kufanya vizuri imekumbana na misukosuko. Muimbaji huyo amesema ngoma hiyo aliitoa kama zawadi kwa mashabiki wake kwani ngoma yake ya mwisho kutoa rasmi ni Nibebe mara baada ya kubadilisha mfumo wake wa kutoa ngoma. “Kwa Raha nilitoa kama zawadi kwa sababu kuna ngoma inakuja kuitoa tena...

Harusi ya Kiba Yawavuruga Bilnass,Christian Bella.

0

Sherehe ya harusi ya msanii Ali Kiba, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena, imewachanganya watu mbalimbali wakiwemo wasanii Bilnas na Christian Bella.MCL Digital iliyopata mwaliko katika sherehe hizo ilizungumza na wasanii mbalimbali ambao wamesema Kiba kawadhihirishia kuwa msanii ukiamua kuoa au kuolewa inawezekana.Bilnas amesema kwake harusi hiyo imezidi kumchanganya zaidi baada ya kuona Kiba ameweza kuoa wazazi...

Prof Jay Apewa Ahadi Hii na Waziri.

0

Wizara ya Nishati kupitia Naibu Waziri wake Subira Mgalu imemuahidi Mbunge wa Mikumi Joseph Haule  (Prof Jay) kwamba itapeleka umeme katika jimbo lake la Mikumi kupitia Mradi wa Umeme wa Vijijini, (Rea) awamu ya tatu, katika mzunguko wa kwanza.Ahadi ya Wizara hiyo imekuja leo baada ya Mbunge huyo ni lini serikali itapeleka umeme katika jimbo lake la Mikumi ambalo...

Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

0

Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu.Kupitia dalili zifuatazo unaweza kupata mwanga kama umeambukizwa virusi vinvyosababisha ugonjwa wa UKIMWI.Homa za mara kwa mara, moja ya dalili za mwanzo kabisa zinazoashiria kuwepo wa virusi vya ukimwi ni pamoja na...

Haya Ndiyo Madhara ya Kufanya Mapenzi na Mwanamke aliyopo kwenye Hedhi.

0

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana. Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi...

Hizi Ndizo Dalili za Mtu mwenye Mawe katika Figo.

0

Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level).Kabla damu haijapita katika figo, huwa imebeba maji na taka taka nyingi sana (urea) ,lakini inapopita katika figo huchujwa na vitu muhimu hurudishwa katika mzunguko wa damu lakini,masalia mengine ambayo hayafai...

Mbinu 18 za Kukabiliana na Ugumu wa Maisha.

0

Mbinu za kuyakabili maisha hazijabadilika tangu zama hizo hela ianze kushika mkondo: tafuta pesa, bana matumizi, hifadhi ziada, na wekeza kwa umakini.Ili kufanikisha hayo, fanya yafuatayo:-1. Acha matumizi/manunuzi yasiyo ya lazima, mf. kunywa soda/bia nyingi kwa siku, kutoa ofa zisizona msingi, kununua chai kwenye mighahawa wakati unaweza kupata ofisini/au nyumbani, kula ovyo barabarani (pipi, karanga, ..) hatakama huna njaa.2....