Mwameja ataja sababu iliyowaangusha Yanga.

0

Mlinda mlango wa zamani wa Simba, Mohamed Mwameja, ameeleza furaha yake kutokana na timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga.Mwameja aliyewahi kung'ara na kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi miaka ya nyuma na kujiwekea rekodi ya kuwa mmoja wa makipa bora kwenye soka la Tanzania hapa nchini, amefurahi ushindi huo akisema Simba walikuwa na...

Julio: Simba hawakustahili kupata ushindi huo kiduchu.

0

Kocha Msaidizi wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa jana Simba walikuwa kwenye kiwango bora sababu walikuwa wanajitambua.Akizungumzia mchezo huo, Julio ameeleza kuwa Simba hawakustahili kupata ushindi huo kiduchu bali wangeweza kufunga kufunga hata bao tano.Kocha huyo aliyewahi kuifundisha Simba kama Msaidizi, amesema kuwa Yanga walitakiwa kufungwa zaidi ya bao moja kutokana na nafasi nyingi Simba walizozitengeneza...

BREAKING NEWS: Mahakama yaamuru Hans Poppe wa Simba SC akamatwe.

0

Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa katika kesi inayomkabili Rais wa Klabu hiyo, Evans Aveva na Makamu wake Kaburu.Amri hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba baada ya Wakili wa TAKUKURU, Leonard Swai kubadilisha hati...

Sir Alex Ferguson ampa Wenger zawadi maalum.

0

KOCHA wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana alimuaga Kocha wa Arsenal, Mzee Arsene Wenger kwa kumpa zawadi maalum kabla ya mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kati ya Arsenal na Man U.Sir Alex Ferguson alimkabidhi zawadi hiyo maalum kwa niaba ya Klabu ya Manchester United ikiwa ni sehemu ya kutambua mambo mbalimbali ambayo...

Manara afunguka kipigo walichokipata Yanga jana ni cha heshima.

0

Afisa Habari wa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai kipigo walichokipata Yanga jana Aprili 29, 2018 cha bao 1-0 ni cha heshima kutokana na wao kuwa mabingwa watetezi hivyo isingekuwa vizuri kuwadharaulisha mbele ya umati wa mashabiki.Manara ametoa kauli hiyo mara baada ya 'Kariakoo Derby' kumalizika katika uwanja vya Taifa Jijini Dar...

Firmino aongeza mkataba mpya Liverpool.

0

Mchezaji wa Liverpool Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi.Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa kiasi cha paundi 180,000 kwa wiki ambapo ni zaidi ya shilingi milioni 410 za Kitanzania.Mkataba huo mpya unatarajiwa kufikia tamati mwaka 2023.

Ali Kiba azindua kinywaji chake MOFAYA.

0

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako harusi hiyo ilikuwa ikifanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu. Kinywaji hicho cha Mofaya hakina kilevi.

Wema atoa kali,siku ya mazishi yake.

0

HII ni kali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, kutoa kali ya aina yake kwa kueleza namna mazishi yake yatakavyokuwa punde tu Mungu atakapoutwaa uhai wake.Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya msanii mwingine wa Bongo Fleva na Bongo Movie, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kusema siku akifa, aagiwe msikitini na si kwingineko.Akizungumza...

Serengeti Boys Watwaa Taji la CECAFA 2018.

0

BUJUMBURA, BURUNDI: Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0-Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne.Je, mpenzi wa soka la Tanzania unadhani huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwa soka letu kufika mbali katika michuano...