Huu hapa Msimao wa ligi,Simba inahitaji pointi tano tu kuwa bingwa.
Baada ya mchezo wa leo wa Kariakoo Derby Simba inajichimbia kileleni kwa kufikisha pointi 62 baada ya michezo 26. Yanga wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 48 lakini wanamichezo miwili mkononi (viporo). Sasa Simba inahitaji pointi 5 kutawazwa mabingwa wa VPL 2017/18.
Vijue Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume
Mbegu za Flax (Flax seeds): Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na mwanaume aliyetaka kuwa na nguvu za kiume ni vile vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen. Hivyo sio kila...
Yanga yawapa ilani waamuzi watakaochezesha Mechi dhidi ya Simba.
Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka Waamuzi watakaochezesha mchezo wa kesho dhidi ya Simba kufuata sheria 17 za mchezo wa soka.Kauli hiyo imetolewa na Yanga kupitia Afisa Habari wa timu hiyo, Dismas Teni, ambapo kikosi chao kitakuwa mgeni dhidi ya Simba.Teni ameeleza kuwa timu zimewekeza kwenye mpira hivyo haitopendeza kuona Waamuzi wanaharibu ladha ya mpira na ksuhindwa kutafsiri sheria...
Kibadeni Awapa Mbinu Simba,Yanga.
Kuelekea mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga, kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amewataka wachezaji kila mmoja kucheza kwa uwezo wake ili kuonyesha kipaji alichonacho na mwisho wa siku aisaidie timu.“Naziomba hizi timu mbili Simba na Yanga wajue kwamba jumapili wanaenda kuonyesha vipaji vyao na walichofundishwa na makocha wao, pia wanatakiwa kutulia na sio...
Mzee Majuto arudishwa Muhimbili,wiki ijayo kupelekwa India.
Msanii wa Filamu nchini, Mzee Majuto amerudishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambapo awali alikuwa akipatiwa matibabu kabla ya kuhamishiwa hopitali ya binafsi, Tumaini.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa serikali imeamua kumrudisha Hospitali ya Taifa ili kufanyiwa vipimo upya kujua kinachomsumbua. “Wakati akisubiri kusafiri kwenda nje ya nchi (India) kati ya Jumatatu na Jumanne...
Gospel Video | Madam Flora-Yesu Usinipite
Contact Madam Flora: Simu/WhatsApp: +255 758 105 014 Facebook: Madam Flora Henry Instagram: @flora_madam Youtube: Madam Flora