Video | Nicki Minaj–Chun-Li

0

Rapper kutoka nchini Marekani, Nicki Minaj ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Chun-Li. Itazame hapa.

Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji kwenye ubongo.

0

Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana Mei 05, 2018 amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye kichwa. Sir Alex Ferguson Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ukurasa rasmi wa Twitter wa klabu ya Manchester United, imeelezwa kuwa upasuaji huo unahusisha ubongo na umeenda salama. Hata hivyo, hakuna taarifa rasmi kuhusu tatizo linalomsumbua Mzee Ferguson hadi kufanyiwa upasuaji huo. Kufuatia hali...

Nandy: Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni.

0

"Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani" Nandy  Ukikutana leo hii na Nandy utapenda kumwambia nini au kumshuri nini?

Aunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?.

0

Aunt Ezekiel akiwa na mwanaeJe! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?

Nina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake..Nifanyaje Niache?.

0

Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni..Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli...Nafasi niweze kuacha? 

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?.

0

Praise the lord..Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake utunzi wake.Pia amekuwa akiwatungia nyimbo wasanii wa Bongo Flava kama  Baraka The Prince na wengineSuala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la YesuNyie mnamuelewaje kwani???

Masikini! Zari Azidi Kuteswa na Kifo cha Ivan Don Amuandikia Ujumbe Huu.

0

Aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameonyesha ni kiasi gani anamkumbuka aliyekuwa mume wake, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye ni Marehemu kwa sasa.Zari ameshare picha ya zamani katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha Don akiwa na mwanaye, Pinto ambaye ni mkubwa kwa sasa na kuandika;Ni vigumu kuamia ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Mungu alipokuita, naona...

Snura Majanga Anaswa Kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) Akiwa Amebebeshwa Vibuyu…

0

Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la kujiongezea mashabiki……Tazama ushuhuda wa picha hapo chini….