YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA BAO 4-0 BILA KUTOKA KWA USM ALGERS.

0

#CafCC Nchini Algeria mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi #KombeLaShirikisho umemalizika, na Yanga imepoteza pointi zote tatu kwa kupokea kichapo cha mabao 4-0.

FULL TIME: Barcelona 2-2 Real Madrid

0

INFO BARCELONA DWWDW 2 - 2 REAL MADRID DDWWD Competition La Liga Date 6 May 2018 Game week 36 Kick-off 21:45 Half-time 1 - 1 Full-time 2 - 2 Venue Camp Nou (Barcelona) Attendance 97939 GOALS L. Suárez 10'(assist by Sergi Roberto)  1 - 0 1 - 1 14' Cristiano Ronaldo (assist by K. Benzema) L. Messi 52'(assist by L. Suárez)  2 - 1 2 - 2 72' G. Bale (assist by Marco Asensio) LINEUPS 1M. terStegen18J. AlbaRamos23S. Umtiti3G. PiquéBernabéu20S. RobertoCarnicer8A. IniestaLuján4I. Rakitić5S. Busquetsi Burgos14P. CoutinhoCorreia9L. SuárezDíaz10L. MessiCuccittini1K. NavasGamboa12M. Vieirada Silva Júnior4S. RamosGarcía5R. Varane6J. FernándezIglesias8T. Kroos14C. Casimiro10L. Modrić7C. dosSantos Aveiro9K. Benzema11G....

AZAM YAKUBALI KICHAPO MJINI SHINYANGA,MATOKEO YA LIGI KUU LEO YAKO HAPA.

0

Kikosi cha Azam Fc kimekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapiga debe wa Stand United kutoka Shinyanga.Mabao ya Stand yamefungwa na Sabilo pamoja na Ally huku bao pekee la Azam likitiwa nyavuni na Shaaban Idd.Matokeo mengine ni Kagera Sugar iliyokuwa nyumbani Kaitaba Stadium imelazimishwa suluhu ya kutofungana na Mbeya City.Wakati huo Majimaji nayo ilikuwa inawaalika Mtibwa Sugar kwenye...

Imesalia Pointi 1 Simba kutangaza Ubingwa.Ni baada ya kuichapa Ndanda FC kwa bao 1-0.

0

Kikosi cha Simba kimeendelea kuunusa ubingwa wa Ligi Kuu kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC.Bao pekee katika mchezo huo limetiwa kimiani na Mshambuliaji wa kimataifa, Mganda, Emmanuel Okwi katika dakika ya 44.Okwi alifunga bao hilo baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa beki wa kulia, Shomari Kapombe.Matokeo hayaifanya Simba ifikishe alama 65 kwenye msimamo...

Rapa Stamina na mchumba wake wafunga ndoa, Roma na mkewe wanogesha harusi (+picha)

0

Hatimaye rapa Stamina amefunga ndoa  na mchumba wake wa muda mrefu ajulikanaye kwa jina la Veronica jana Mei 05, 2018 mjini Morogoro katika kanisa la Mtakatifu Consolata lilipo maeneo ya SUA mjini humo. Stamina na mkewe Veronica wakivishana pete. Kwenye harusi hiyo, Wasimamizi walikuwa ni swahiba wake Roma Mkatoliki na Mkewe Nancy ni kwa mujibu wa maelezo ya Stamina. Mwaka jana rapa...

CHELSEA INAIALIKA LIVERPOOL LEO,LIGI KUU ENGLAND.

0

Klabu ya Chelsea inaikaribisha Liverpool leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu England.Chelsea watakuwa wanaialika Liverpool baada ya kushindwa kuutetea ubingwa wa ligi ikiwa ni baada tu ya kuutwaa msimu uliopita wa 2016/17.Timu hizi zinakutana zikiwa zimetofautiana kwa pointi 6 ambapo Liverpoo ina alama 72 na Chelsea ikiwa na 66.Mechi hii itaanza majira ya saa...

#ElClasico :LEO NI BARCELONA VS MADRID,ZIDANE ATOA KAULI TATA KUELEKEA MCHEZO HUO.

0

Ligi Kuu Spain inaendelea leo kwa Mabingwa watetezi wa taji hilo FC. Barcelona wakiwa wanakawaribisha Real Madrid kwenye Dimba la Cam Nou. Barcelona wanashuka dimbani wakiwa tayari wameshanyakua ubingwa huo pamoja na Kombe la Mfalme huku wapinzani wao Madrid wakiwa hawajachukua ubingwa wowote msimu huu. Kuelekea mechi hiyo maarufu kama El Clasico, Kocha wa Madrid, Zinedine Zidane, amesema kuwa itakuwa vigumu...

Matokeo na Ratiba ligi kuu Tanzania Bara.Simba kuwavaa Ndanda jumapili ya leo.

0

Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea tena Jumamosi ya jana kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti. Singida United iliyokuwa katika Uwanja wake wa nyumbani imefanikiwa kuibuka na ushindi mnene wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji ya Jombe. Mabao hayo yalitiwa kimiani na Kambale Salita dakika ya 42,Miraji Adam 60', Mundia 62' na Nizar Khalfan katika dakika ya 90. Mchezo mwingine uliopigwa...