Home Uncategorized AZAM YAKUBALI KICHAPO MJINI SHINYANGA,MATOKEO YA LIGI KUU LEO YAKO HAPA.

AZAM YAKUBALI KICHAPO MJINI SHINYANGA,MATOKEO YA LIGI KUU LEO YAKO HAPA.

1
0


Kikosi cha Azam Fc kimekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapiga debe wa Stand United kutoka Shinyanga.

Mabao ya Stand yamefungwa na Sabilo pamoja na Ally huku bao pekee la Azam likitiwa nyavuni na Shaaban Idd.

Matokeo mengine ni Kagera Sugar iliyokuwa nyumbani Kaitaba Stadium imelazimishwa suluhu ya kutofungana na Mbeya City.

Wakati huo Majimaji nayo ilikuwa inawaalika Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Majimaji na mechi hiyo ikamalizika kwa matokeo ya 0-0.


Previous articleImesalia Pointi 1 Simba kutangaza Ubingwa.Ni baada ya kuichapa Ndanda FC kwa bao 1-0.
Next articleTAZAMA FULL MECHI : SIMBA SC vs NDANDA FC 1-0,GOLI LA OKWI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here