Kwangwaru ya Harmonize Yakimbiza Chati za BBC Radio.

0

Harmonize amefanikiwa kuingiza ngoma yake ya Kwa Ngwaru kwenye Top 5 za Afro Boss Airline DNA za kipindi cha Destination Africa kinachoendeshwa na DJ Edu kupitia BBC Radio One Xtra.Wimbo huo umefanikiwa kushika namba mbili kwenye chati hizo wakati namba moja ikishikiliwa na Davido kupitia wimbo wake mpya wa Assurance.Wiki iliyopita wimbo huo ulishika namba tano kwenye chati hizo.Wasanii...

Penzi la Davido,Chioma Lazidi Kushika Kasi ni Bata tu.

0

Msanii Davido na mpenzi wake Chioma wamezidi kuonyesha mapenzi yao ni kama njiwa baada ya kuyafanya siri kwa muda mrefu.Davido ameweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akiwa na mrembo wake huyo huku wakionekana wenye furaha kubwa na kuandika kwenye moja yapicha ujumbe unaosomeka, “Happy people 😁.”Msanii huyo wiki iliyopita alimzawadia mrembo wake huyo gari aina ya Porsche SUV...

TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Afariki Dunia.

0

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Jack Chamangwana amefariki dunia hapo jana siku ya Jumapili majira ya jioni kwenye Hospitali ya Queen Elizabeth (QECH) nchini Malawi.Ripoti zinaeleza kuwa chanzo cha kifo chake ni kutokana na shinikizo la Moyo hii ikiwa ni Mwezi mmoja umepita toka kumzika mpwa wake, George Chamangwana.Wakati wa uhai wake Chamangwana maarufu kwajina la ‘Africa’...

Video | Mbosso–Alele

0

WATCH VIDEO

Alikiba Yamkuta ya Daimond Naye Kupelekwa Mahakamani Kisa Matunzo ya Mtoto.

0

MFANYABIASHARA wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba maarufu kama King Kiba. Katika kesi hiyo, Hadija anadai jumla ya Sh. milioni 1.41, ikiwamo Sh. 950,000 za ada na Sh. 460,000 za matumizi ya mtoto wa miaka mitano (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria na...

Irene Uwoya na Dogo Janja Wasaka Mtoto Usiku Kucha.

0

MKALI wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya na mumewe, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, wamesema kuwa, wapo bize kwa sasa na wamekuwa wakikesha kumsaka mdogo wake Krish ambaye ni mtoto wa mwanamama huyo aliyezaa na mumewe wa awali, marehemu Hamad Ndikumana ‘Kataut’.Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Ijumaa Wikienda, mastaa hao walifunguka kuwa, kwa kipindi...

Faiza Anasa Mimba Nyingine Amwaga Chozi Hadharani.

0

UTAMU wa ubuyu hauchagui mtoto wala mtu mzima, wote ni twende tu! Mwigizaji wa sinema za Kibongo ambaye ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) anayetumikia kifungo cha miezi mitano jela, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amejikuta akimwaga machozi laivu!Kwa mujibu wa msambaza ubuyu wetu, hivi karibuni Faiza alinasa ujauzito mwingine wa mtoto wa tatu huku mtoto...

MSANII Harmonize ” Bora Ningesikia Mbosso Ndio Anatembea na Sarah ila huyu Mwarabu Fighter Naanzia Wapi Hata Kumuuliza?”.

0

MSANII Harmonize amefunguka kumwogopa Mwarabu Fighter Baada ya kuenea Udaku kuwa Baunsa huyo wa Diamond anatoka kwa siri na Girlfriend wake kwa siri_Regrann from @harmonize_tz - Mara 10 ningesikia @mbosso_ anakula mzigo ningemsubiri pale @thelifeclub_1 tarehe 13/5/ na #kipanga yani ile anaingia tuu....!!! nikamuulia hapo hapo sasa mtu kama huyu hivi unaanzaje hata kumuuliza mana hata kucheka kwenyewe kwa...

FREEMAN Mbowe ‘Imeniwia Vigumu Sana Kumpa Pole Mbunge Heche Kwa Kifo cha Mdogo Wake’.

0

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amefunguka na kusema kuwa kwa siku kadhaa zilizopita amekuwa katika wakati mgumu na kushindwa kuelewa neno gani anaweza kumpa Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, John Heche kufuatia kifo cha mdogo wake Suguta ambaye alifariki kwa kuchomwa kisu na askari  Mbowe amesema kuwa kifo ambacho kilimpata mdogo wake na Heche kinaumiza sana ndiyo maana kwa...

KIMENUKA..Msanii Ali Kiba Aburuzwa Mahakamani.

0

Mfanyabiashara  wa mitumba Hadija Hassan amefungua kesi ya madai ya matunzo ya mtoto dhidi ya msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba maarufu kama King Kiba.Katika kesi hiyo, Hadija anadai jumla ya Sh. milioni 1.41, ikiwamo Sh. 950,000 za ada na Sh. 460,000 za matumizi ya mtoto wa miaka mitano (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria na...