Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda…..Watatu Wafariki Dunia.

0

Watu watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kupata hitilafu katika mfumo wake wa breki kuwagonga.Taarifa za ajali hiyo zinasema, ajali imetokea katika maeneo ya Boko Magengeni, jana Mei 7, 2018 ambapo inadaiwa lori hilo liliwaparamia watu waliokuwa pembezoni mwa barabara huku likisaga pikipiki kadhaa ambazo...

Mtoto wa Masogange akataa shule hizi.

0

Mtoto wa video queen maarufu bongo Agnes Masogange ambaye alifariki mwishoni mwa mwezi uliopita,Sania Shaaban, amekataa kusoma shule za bweni ambazo ameahidiwa kusomeshwa na wafadhili, na kutaka kusoma shule za kutwa.Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet3 Bogno ya East Africa Radio, Sania amesema hataki kukaa mbali na shangazi zake ambao ndio wanamlea, na hajazoea shule hizo.“Napenda kukaa nyumbani kwa...

Huyu ndiye Refa Atakayechezesha Fainali ya Real Madrid na Liverpool,UEFA.

0

Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid na Liverpool Jumamosi ya Mei 26 mwaka huu.Tayari kamati ya waamuzi ya UEFA imemchagua mwamuzi wa kati ambaye anachezesha mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa NSC Olimpiyskiy, Kyiv kwa kusimamia sheria 17 za soka.Kamati hiyo...

Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond.

0

Weekend iliyomalizika mpenzi wa Harmonize, Sarah aliingia kwenye headlines za uzito wa juu mara baada ya kuibuka taarifa zilizodai anatoka kimapenzi na Bodyguard wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter.Sasa Sarah ameibuka na kueleza kuwa anatabasamu kwa kile kinachoendelea kwani yeye si mwanamke wa aina hiyo, mpenzi wake ni Harmonize na hakuna wengine katika katika maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa...

Penzi la Dillish na Adebayor Lavunjika Kisa Hiki Hapa.

0

Mshindi wa BBA mwaka 2013 kutoka Namibia, (The Chase) Dillish Mathews baada ya kudaiwa kuwa kwenye mahusiano na mwanasoka wa Togo na klabu ya Istanbul Başakşehir, Emmanuel Adebayor – Wawili hao wamedaiwa kumwagana.Dillish na Adebayor waliingia kwenye vichwa vya habari vya kuwa wapenzi tangu mwishoni mwa mwaka jana.Habari za mahusiano ya wawili hao kuvunjia zilianzia kwenye ujumbe ambao Dillish...

Harmonize Afunguka Mazito Kuhusu Kuibiwa Sarah na Baunsa wa Diamond.

0

Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa amezihamishia kwa mwarabu fighter na gharama za gym kwa kiasi kikubwa yeye ndiye anazisimamia.Sarah amepunguza mapenzi kwa kiasi kikubwa na...

TFF Yapangua Ratiba ya Ligi Kuu.

0

Shirikisho la soka nchini kupitia kwa Bodi ya ligi (TPLB), limepangua mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Mbao FC na Ndanda FC uliokuwa unatarajiwa kucheza Ijumaa ijayo.Taarifa ya TFF leo, imeeleza kuwa mchezo huo umerudishwa nyuma kwa siku moja ambapo badala ya kuchezwa Ijumaa sasa utachezwa Alhamisi ya wiki hii sababu kubwa ikiwa ni uwanja kuwa...

Siku Nikki wa Pili Akipewa Uwaziri Atafanya Jambo Hili.

0

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki wa Pili amesema ili wasanii watambulike kama wafanyakazi ni lazima serikali itambue wasanii wanafaje kazi na iwapo wanataka kuilinda ijue inalinda kitu gani.Amesema baada hapo kinaweza kuanzishwa chama cha wasanii wafanyakazi ambacho kinasimama na kutengeneza kanuni na taratibu za mfanyakazi huyo na kitu hicho kutafsiriwa kama sheria.“Kubadilisha sanaa kuwa biashara hicho...

Tazama Picha Jinsi Volacano Hai ilivyolipuka huko Hawii.

0

HAWAII: Moja kati ya Volkano hai Ulimwenguni yalipuka na kuharibu nyumba 26. Lava yaruka zaidi ya mita 100 hewaniTakribani watu 1,700 wamelazimika kuondoka katika eneo hilo na wanapaswa kukaa mbali na eneo hilo lililokuwa makazi yao kwa mudaKilauea ni Volkano iliyo hai ambayo tangu mwaka 1983 imekuwa ikilipuka mara kwa mara

Mafuta ya Kula Yaanza Kuhadimika Viwanda Vyasitisha Uzalishaji.

0

Sakata la kuzuiwa kwa meli mbili zenye tani 62,000 za mafuta ya kula katika Bandari ya Dar es Salaam, linatishia kuadimika kwa bidhaa hiyo baada ya viwanda vingi kusitisha uzalishaji.Tayari bei ya mafuta ya kula imeanza kupanda kutokana na kuadimika kwake sokoni baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzizuia meli hizo tangu mwezi uliopita kushusha mzigo mpaka wamiliki...