Sugu Kuwasha Moto Baada ya Kutoka Gerezani.

0

Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu'' amefunguka na kusema kuwa atawasha moto katika jiji la Mbeya Mjini pindi atakapotoka kutumikia kifungo chake cha miezi mitano jela ambapo sasa kinakwenda ukingoni.Sugu amesema hayo kupitia kwa Mwenyekiti wa baraza la vijana la Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (BAVICHA) Taifa Patrick Ole Sosopi ambaye mwisho wa wiki iliyopita alipata fursa...

OBF | @JideJaydee -Siwema

0

Lady JayDeeVerified account @JideJaydee Singer| Songwriter |Performer Dar Es Salaam, Tanzania youtu.be/RBeBx890Xpg Joined June 2009 Tweet to Lady JayDee

Shilole Ajipanga Kurudi shule Kuongeza Maarifa.

0

Baada ya siku chache zilizopita mrembo na mjasiriamali, Zewena Yusuf Mohammed aka Shilole kutembelea chuo cha National College of Tourism NCT kwaajili ya kujionea kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo, mrembo huyo ameahidi kurudi chuoni hapo kwaajili ya kuchukua kozi ya mafunzo ya upishi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chuo hizo, zinadai muimbaji huyo alivyotembelea chuoni hapo mapewa wiki iliyopita,...

Serikali yafunguka kuhusu raia kupigwa na Polisi.

0

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema hakuna utaratibu wowote unaoipa mamlaka Jeshi la Polisi kupiga raia au wageni kama baadhi ya askari wanavyowafanyia wananchi bali kuna utaratibu wa kisheria ambao unapaswa kufuatwa pindi raia au mgeni atakuwa amevunja sheria. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 08, 2018 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad...

Tunda Man amchana Bob Junior.

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man ambaye hivi karibuni ameachia kazi mpya, amempa makavu Bob Junior baada ya kusema kuwa amekurupuka kuachia kazi zaidi ya moja kwa pamoja, na kumtaka amuheshimu. Akizungumza na eNewz ya East Africa Television, Tunda Man amesema kwamba Bob Junior ni mdogo kwake kimuziki na kila kitu, hivyo hawezi kumshuri kitu kwenye muziki wake,...

Serikali yatoa ufafanuzi juu ya upungufu wa mafuta.

0

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi ya kula nchini Waziri Mwijage ametoa ufafanuzi huo leo Mei 07, 2018 baada ya Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia kutaka kauli ya serikali kuhusu ukweli wa taarifa za kwenye vyombo habari kuhusiana na mafuta ya kula. "Sasa...

Ndugu wa Masogange hawajapewa michango ya marehemu.

0

Ndugu wa marehemu Masogange wakiwemo wifi zake ambao pia ndio wanaishi na mtoto wake Sania, wamesema hawajapata taarifa zozote juu ya pesa ambazo zilichangwa na kamati ya wasanii, kwa ajili ya kumsaidia mtoto. Wakizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, mmoja wa ndugu hao aliyejulikana kwa jina la Sada, amesema hawajapata taarifa yoyote kutoka kwa kamati...

Wolper Amtupia Dongo Zito Sarah Wa Harmonize na Kudai ni Mlezi Wa Vijana.

0

Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Wolper amemtupia Dongo zito Sarah baada ya habari zake za kumtosa Harmonize na kumchukua Bodyguard wa Diamond, Mwarabu Fighter.Siku tatu zilizopita stori iliyotrend kupita zote ni ya mpenzi wa Harmonize Sarah kumtosa mpenzi wake na kumchukua Mwarabu Fighter.Inasemekana Sarah amekufa ameoza kwa Mwarabu kiasi ya kwamba anamuhudumia ipasavyo yaani kampangishia hadi nyumba yaani zile...