Diamond Aingia Location na Miri Ben-Ari UK Kutengeneza Video ya Baila
Safari ya Diamond nchini Uingereza haijakuwa kwaajili ya kufanya show bali ameitumia kuteneneza video ya wimbo wake wa Baila ambapo mrembo Miri Ben-Ari amesikika akilicharaza vizuri Violini.Diamond ameonekana kwenye baadhi ya picha na video akiwa location nchini humo akitengeneza video hiyo ambapo inaweza ikawa ndio kichupa kinachofuata baada ya African Beauty.Lakini kubwa zaidi Miri Ben-Ari na yeye ameonekana location...
Harmorapa-Nilialikwa Ila Nilikua Afrika Kusini.
☺☺☺☺☺☺☺ Baada ya ukimya mrefu msanii Harmorapa ameibuka na kueleza sababu ya kilichopelekea kupotea ghafla.Harmorapa amesema kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya Dar es Salaam kwa kuandaa kazi zake mpya ambazo alikuwa akizifanyia nchini Afrika Kusini.Pia Harmorapa amedai kuwa yeye ni miongoni mwa wasanii waliohalikwa katika harusi ya msanii Alikiba ila alishindwa kuhudhuria kutokana na safari yake hiyo.“Uongo dhambi, kualikwa...
OKWI AMPA TANO KHAMISI TAMBWE.
WAKATI kikosi cha Simba kikikaribia kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, mshambuliaji wa timu hiyo, Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kummwagia sifa mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe.Okwi ambaye anaongoza msimu huu katika michuano ya Ligi Kuu Bara kwa kuzifumania nyavu akiwa na mabao 20, amemmwagia sifa Tambwe kutokana na kazi kubwa aliyoifanyia Yanga msimu wa...
BILA MAPUMZIKO YANGA KUELEKEA MBEYA LEO,KUHUSU HALI ZA WACHEZAJI KIAFYA,MAMBO YAKO HIVI.
Na George MgangaKikosi cha Yanga kinaondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatano kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya.Bila mapumziko, kikosi hicho kinaunganisha safari hiyo leo baada ya kuwasili jana nchini kikitokea Algeria kushiriki mashindano ya kimataifa.Yanga ilikuwa Algeria mjini Algiers kwa ajili ya...
Baby J Afunguka Kilichomfanya Kuwa Kimya Kwenye Game.
WASWAHILI tuna msemo unasema, kila zama na mvua zake si, ndiyo? Sasa zama fulani hivi za nyuma, mwishoni kwa miaka ya 2000, mwanadada kutoka Zanzibar, anayejulikana zaidi kwa jina la Baby J alikuwa ni miongoni mwa mvua kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva.Wengi watakumbuka ngoma zake nzuri za kuimbika na zenye maudhui ya mahaba. Zaidi zinaweza kuwa zinawakumbusha...
Toka Nijue Mapenzi Sijawahi Kuiba Mume wa Mtu-Thea.
WAKATI mastaa wengi wa kike Bongo wakizungukana na kuchukuliana mabwana, mkongwe wa maigizo Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amevunja ukimya kuwa, tangu ajue mapenzi ni kitu gani, hajawahi kuiba mwanaume wa mwanamke mwenzake.Akizungumza na Za Motomoto News, Thea alifunguka kuwa, suala la kuibiana mabwana halipo kwa wasanii tu, bali ni kwa jamii nzima, lakini kwa upande wake hajawahi kumzunguka mtu...
Gospel Video | Bella Kombo–Umenibadilisha
VIDEO | Bella Kombo – Umenibadilisha | Download DOWNLOAD
Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri zaidi Tanzania.
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja wasanii watano matajiri Tanzania basi Aslay ni wa tatu na yeye ni wa nneKweli Nandy na Aslay wana hela kuliko wasanii hawaDiamondAlikibaProf JAYAYLADY JAYDEEHARMONIZERAYVANMWANA FARICH MAVOKONandy tuombe radhi au tukuombee labda umeanza kudataBy Jerry Rebiam
TANZIA: Bilali Mashauzi Afariki Dunia.
Muimba Taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jana Jioni. Chanzo cha Kifo chake bado hakijawekwa wazi.Pumziko jema Bilal.