Mbunge Sugu Aachiwa Huru Atoka Gerezani.

0

Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameachiwa huru kutoka gereza la Ruanda, Mbeya alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.Sugu ameachia huru pamoja na katibu wa Chadema kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda na viongozi wengine wa chama hicho walifika gerezani hapo kuwapokea na tayari wamefika...

Mnyika na Bulaya Watolewa Bungeni.

0

Naibu Spika Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika na Ester Bulaya kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kile alichodai kutoheshimu kiti cha Spika.Naibu Spika ametoa maamuzi hayo jioni ya leo Mei 9, 2018 katika mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji mwaka 2018/19 ambapo Mbunge John Mnyika alisimama akitumia kanuni ya 69(1), kutaka...

Ebitoke Atoboa Siri “Bikira Yangu Nilimpa Ben Pol Aitoboe”.

0

Msanii wa vichekesho bongo Ebitoke, ameweka wazi kuwa ahadi aliyomuahidi kumpa Ben Pol alishaitekeleza hivyo watu wasijiulize sana.Akiongea na EATV,  Ebitoke amesema kuwa licha ya kwamba hivi sasa hayuko tena kwenye mahusiano na Ben Pol, lakini yeye ndiye alikuwa mwanaume wake wa kwanza na ndiye aliyempa zawadi ya usichana wake aliyomuahidi.“Kama ulimuahidi mtu zawadi lazima umpe, nimeshampa Ben Pol...

Video | RudeBoy–IFAi

0

Download : RudeBoy – IFAi : New Video Stream Video Via Youtube DOWNLOAD

Dawa mpya ya kutibu upara yapatikana.

0

Tiba ya kutibu upara imepatika. Dawa ya tiba hiyo ilikuwa hapo awali ikitumika kutibu mifupa.Je ukosefu wa nywele kichwani humfanya mtu kutojiamini? Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

Mlinda Mlango wa Azam Anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora Mlinda mlango wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa timu...

0

Mlinda mlango wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa timu hiyo mwezi Machi baada ya kupata kura nyingi zaidi alizopigiwa na mashabiki wa timu hiyo.Mwadini ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwa na kiwango kizuri mwezi huo akicheza jumla ya mechi nne sawa na dakika 360 huku akiruhusu wavu wake...

Yanga Yaogopa Kuvunja Mikataba na Wachezaji Wake Kuhofia Hasara.

0

Baada ya wachezaji baadhi wa Yanga kutoonekana dimbani kwa muda mrefu, uongozi wa Yanga umesema unahofia kuvunja nao mikataba kwa hofu ya kupata hasara.Donald Ngoma na Amis Tambwe ni miongoni mwa wachezaji walioshindwa kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeraha.Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa wana hofu ya kuvunja nao mikataba kwasababu itawalazimu...