Yanga Kuvaana na Prisons Leo Ikiwa Pungufu.
Kikosi cha Yanga kinateremka dimbani Sokoine jioni ya leo kuvaana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.Uongozi wa Yanga umesema unataka kutengeneza heshima hata kama wataukosa ubingwa wa ligi kwa kushinda mechi zote zilizosalia.Yanga inashuka dimbani ikiwa pungufu kufuatia nyota wake kadhaa kusalia jijini Dar es Salaam ikilelezwa kuwa ni madai ya mshahara.Msafara wa Yanga haujaweka wazi...
Jeshi la Magereza: Sugu Ametoka kwa Msamaha wa Rais.
Jeshi la Magereza limesema mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametoka kwa msamaha wa Rais John Magufuli alioutoa kwa wafungwa katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, 2018.Akizungumza na MCL Digital leo Alhamisi Mei 10, 2018, ofisa habari wa jeshi hilo, Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Lucas Mboje amesema katika maadhimisho...
Zitto Kabwe Agoma Kumpa Pole Sugu Baada ya Kutoka Gerezani “Siwapi Pole Maana Wapinzani Wote Wafungwa Watarajiwa”.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amesema kuwa amefurahi kuona Mbunge mwenzake wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu pamoja na mwenzie Emmanuel Masonga wakitoka gerezani lakini amekataa kuwapa pole kwa kile alichodai kuwa viongozi wote wa upinzani kwa sasa ni wafungwa watarajiwa.Zitto amesema kuwa anaamini kukaa kwao gerezani kumewaongezea zaidi...
Sijui Kilichonifanya Niachiwe Kwani Nilijua Nitaachiwa Huru Mwezi wa 6- Mbunge Sugu.
Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambaye ameachiwa huru leo kutoka gerezani alikofungwa akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela.Akizungumza na East Africa Radio, Sugu amesema hakuwa anajua kama anaachiwa mpaka pale alipofuatwa na polisi kuambiwa ajiandae, na hajui imekuwaje mpaka akaachiwa sasa kwani ilijulikana...
Alichokisema Mbowe Baada ya Sugu Kuachiwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema kwamba baada ya Sugu kuachiwa hatakwenda Bungeni moja kwa moja licha ya kwamba Bunge linaendelea, ila watamuacha arekebishe masuala yake ya kifamilia kwanza.Mbowe ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akizungumza na East Africa Radio, na kusema kwamba haitakuwa vyema kwa Mbunge huyo ambaye alikuwa akitumikia kifungo chake kumruhusu kwenda Bungeni mara moja, kwani...
Ebitoke Ashindwa Kumuelewa Shilole ” Mi najua ni Mpishi Tu”
Mchekeshaji maarufu wa kike nchini Tanzania, Ebitoke ameshindwa kuelewa kama Shilole ni msanii wa muziki au muigizaji kwani hafahamu hata kazi moja ya sanaa ambayo mrembo huyo alishawahi kuifanya zaidi ya kazi yake ya mama ntilie anayoifanya kwa sasa.Ebitoke amesema hayo leo kwenye kipindi cha Kikaangoni cha EATV, alipotakiwa na moja ya wafuatiliaji wa kipindi hicho ataje wimbo japo...
Yanga Yaipigia Saluti Simba “Kwa Hali Ilivyo Simba Ndiyo Mabingwa”.
HATIMAYE benchi la ufundi la Klabu ya Yanga limeamua kukubali kuwa wapinzani wao Simba kwa msimu huu ndiyo mabingwa huku wao sasa wakijipanga kuelekeza nguvu zao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Yanga ndiyo mabingwa watetezi wa ligi kuu baada ya kuutwaa msimu uliopita wakiwazidi Simba kwa mabao ya kufunga lakini kwa msimu huu hadi sasa wanakamata nafasi ya...
Kuna Wasanii Wanatoa Nyimbo Mbaya wanabaki Wanakomaa na Ma-interview tu-Ommy Dimpoz.
Wasanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amesema kuna baadhi ya wasanii ‘wanatoa’ nyimbo mbaya ila wasanii wanzao wanaogopa kuwaambia.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Yanje’ hilo linatokana wale wanaosema ukweli kuchukiwa siku zote.“Kuna nyimbo za wasanii wenzangu na nyingine unaona huu wimbo gani na unaona mwana anakomaa na ma-intervie,” amesema.Amesema ni vigumu kumwambia ukweli msanii mwenzako...