Tunda Man Asaliti Wana…Adai Alikiba Amemzidi Diamond Mbali.

0

Msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka na kusema kuwa mashabiki wanaowashindanisha Alikiba na Diamond wanakosea.Muimbaji huyo kupitia Refresh ya Wasafi TV amesema kuwa Alikiba amemzidi Diamond na kinachotakiwa kuwepo kati yao ni heshima tu.“Hata wale wanaowashindanisha Diamond na Alikiba ni kitu kibaya sana kwa sababu wanachangia vitu vya…, kwa sababu Alikiba ni mkubwa, hiyo ni heshima tu inatakiwa...

Producer wa Mariah Carey,Michael Jackson afanya kazi na Vanessa Mdee(@VanessaMdee).

0

Vanessa Mdee amekuwa akipambana kwa kila hali kuhakikisha muziki wake unafika mbali zaidi. Msanii huyo amekutana na producer na audio engineer, Humberto Gatica ambaye ni mshindi wa tuzo 16 za Grammy na kufanya naye kazi.Vanessa amekutana na producer huyo katika studio maarufu duniani ya Abbey Road iliyopo nchini Uingereza na kutengeneza project ya kazi kwa ajili ya tamasha la...

Sallam SK alisaini kundi la Nany Kenzo, Diamond kuiachia video ya wimbo Baila.

0

Meneja wa Diamond na AY, Sallam SK jana katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ametangaza kulisimamia Kundi la Muziki la Nanvy Kenzo. Sallam amesema kuanzia wiki ijayo kazi za kundi hilo ambao lilikuwa kimya zitaanza kuachiwa. “Exclusive mimi ni meneja wa Nany Kenzo, nimeshawasaini na kuanzia wiki ijayo naanza nao kazi,” alisema Sallam kupitia Dizzim Online. “Kwahiyo Aika na Nahreel...

Video | Tekno–Jogodo

0

TAZAMA.... 

FULL TIME: PRISONS 2-0 YANGA,SIMBA MABINGWA 2017/2018 VPL.

0

Waliokuwa Mabingwa watetezi,Yanga wamepokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.  Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48 katika nafasi ya tatu,Azam FC katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 na Simba sasa wanachukua ubingwa wakiwa na pointi 65. Simba wamechukua ubingwa wakiwa na pointi tatu mkononi.

Serikali Kutafuta Muwekezaji Mwingine Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi.

0

Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutafuta muwekezaji mwingine katika awamu ya pili ya mradi wa mabasi ya mwendokasi ikiwa kama njia ya kujaribu kutatua changamoto za usafiri katika Jiji la Dar es salaam.Hayo yamesemwa Bungeni leo Mei 10, 2018 na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa katika kipindi cha maswali na majibu na kusema kuwa serikali ikiongeza muwekezaji mwingine...