Home Uncategorized FULL TIME: PRISONS 2-0 YANGA,SIMBA MABINGWA 2017/2018 VPL.

FULL TIME: PRISONS 2-0 YANGA,SIMBA MABINGWA 2017/2018 VPL.

1
0

Waliokuwa Mabingwa watetezi,Yanga wamepokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.

 Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48 katika nafasi ya tatu,Azam FC katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 na Simba sasa wanachukua ubingwa wakiwa na pointi 65.

Simba wamechukua ubingwa wakiwa na pointi tatu mkononi.

Previous articleSerikali Kutafuta Muwekezaji Mwingine Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi.
Next articleVideo | Eddy Kenzo & Harmonize–Pull Up

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here