Nandy Afunguka Kuhongwa Gari la Mamilioni.

0

SIKU chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa picha zake zikimuonesha akiwa na gari jeusi la mamilioni aina ya Mercedes Benz E-Class E320 CDI, msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’, amefungukia ndoa yake ijayo na gari hilo kuwa amelinunua kwa jasho lake na hajahongwa na mtu kama watu wanavyoeneza.Akizungumza na Risasi Jumamosi, Nandy alisema kuwa, gari hilo alilinunua kwa...

Ng’ombe waliokufa wakamatwa wakiingizwa Sokoni.

0

Mapema asubuhi ya leo katika Machinjio ya Tegeta lilikamatwa lori lililopakia ng’ombe waliokufa wakiwa tayari kuingizwa sokoni.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, ACP Jumanne Muliro amesema kuwa kufariki kwa mifugo ni tukio la kawaida kwani Mifugo inatoka mbali na ikitokea hivyo kuna utaratibu unaotakiwa kufanyika na si kuwaingiza sokoni mifugo hao.“Malori yanasafiri na mifugo...

Yanga Hali Bado Tete, Yaambulia Kipigo cha Tatu Mfululizo.

0

Klabu ya Yanga bado ipo kwenye kipindi kigumu katika mapambano ya Ligi kuu vodacom Tanzania Bara kwani leo tena imeambulia kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.Kipigo hicho ni cha tatu mfululizo kwa klabu hiyo baada ya kuadabishwa na Simba na klabu ya Mbeya City.Goli la mtibwa sugar limefungwa na Hassan Dilunga kunako dakika ya 82 na kwa...

Video ya ‘Mvumo wa Radi’ ya Alikiba yafanyiwa zengwe YouTube, mwenyewe atoa tamko.

0

Video ya wimbo wa ‘Mvumo wa Radi’ ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba imeelezwa kuwa imefanyiwa figisu figisu hususani kwenye suala la Watazamaji (Views) kwa kile kilichoelezwa kuwa hawaongezeki toka itoke video hiyo siku ya Ijumaa.Alikiba amesema amepokea malalamiko hayo na hata hao wenyewe wamelitambua tatizo hilo na tayari wametuma malalamiko hayo makao makuu ya YouTube Afrika kuweza kutatua...

Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu huu.

0

Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United "Rui Faria" ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi yake ya usimamizi,huenda akachukua matazamio ya kuwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza,yeye kama yeye.

Hii ndio sababu ya Rihanna kuvamiwa nyumbani kwake.

0

Hii ni nyingine ya kuifahamu kutoka kwa staa maarufu  Marekani Rihanna ambapo inaripotiwa kuwa siku ya May 11,2018 alivamiwa katika nyumba yake iliyopo Holly Wood Hills na kijana aliyefahamika kwa jina la Eduardo Leon.Mashuhuda waliwaambia polisi waliofika nyumbani kwa Rihanna kuwa kijana huyo alifanya hivyo kwa dhumuni la kumuona Rihanna na kukutana naye kimwili kutokana na hisia alizonazo kwa...

Mwanaume Ajiua Kisa ‘Bili Kubwa’ ya Umeme.

0

Mwanaume mmoja, raia wa India ambaye anafanya biashara ya mboga za majani ameripotiwa kujiua jana May 10, 2018 baada ya kupokea bili ya umeme ya gharama ya Dola za Marekani 13,000 sawa na Shilingi za Kitanzania milioni 31.2.Mwanaume huyo anayefahamika kwa jina la Jagannath Shelke, 36, alikuwa ni mkazi wa kusini mwa Maharashtra nchini humo.Familia yake imeliambia Shirika la...

Mwanafunzi aliyejinyonga aagwa, wenzie wasimulia mazito.

0

Leo May 12, 2018 Luciana Olutu alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Makumira Arusha na amefariki dunia May 7 mwaka huu baada yakujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni msongo wa mawazo baada ya mtoto wake kufariki.Wanafunzi ambao wamesoma naye wameelzea jinsi Marehemu Luciana alivyojaribu kujiua zaidi ya mara mbili na kilichoandikwa katika barau.VIDEO: Source:Millard 

Hii imekaaje? Alikiba Amfananisha Diamond na “……….”

0

Jana ilikuwa siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya Kiba pale mawingu (Clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila mtu anasalimiwa kwa style yake, hata Wanawake wanakuwa na Salamu zao jinsi ya Kuwapa mkono , Akimanisha utofauti uliopo pindi...

Ummy Mwalimu apewa tuzo ya heshima.

0

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM), amepewa tuzo ya heshima na klabu ya soka ya Coastal Union ya jijini Tanga.Coastal Union wametoa tuzo hiyo kwa Ummy, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake ambao ulifanikisha harakati zao za kurejea ligi kuu kuanzia...