Home Uncategorized Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu huu.

Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu huu.

1
0

Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United “Rui Faria” ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi yake ya usimamizi,huenda akachukua matazamio ya kuwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza,yeye kama yeye.

Previous articleHii ndio sababu ya Rihanna kuvamiwa nyumbani kwake.
Next articleVideo ya ‘Mvumo wa Radi’ ya Alikiba yafanyiwa zengwe YouTube, mwenyewe atoa tamko.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here