Kauli ya Steve Nyerere Baada ya Lulu Michael Kuachiwa Huru
Taarifa za muigizaji maarufu nchini Elizabeth Michael”Lulu” kuachiwa huru siku ya leo May 14,2018 zimewafurahisha wengi baada ya kubadilishiwa adhabu na kumalizia adhabu yake nje ya gereza.Mchekeshaji Steve Nyerere ambaye pia ni msemaji mkuu katika kitengo cha waigizaji (Bongo Movie) ni mmoja wa watu waliofurahishwa na taarifa hizo na kuonesha furaha yake kupitia ukurasa wake wa instagram.“Lulu ni jambo...
Jeshi la Magereza Latoa Ufafanuzi Juu ya Lulu ya Kuachiwa Kwa Msamaha wa Rais.
Jeshi la Magereza limeeleza kuwa muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiliwa Mei 12, 2018 kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuenda kutumikia kifungo chake nje ya gereza 'community service'Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na Kitengo cha Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es Salaam na kusema kwa mujibu wa Sheria...
Rais John Pombe Magufuli Afanya Uteuzi Mpya.
Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College).Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi huo umeanza rasmi leo Mei 13.Kabla ya uteuzi wa leo Prof Tumbo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
Magoli ya Samatta yamefufua Matumaini ya KRC Genk kucheza Europa League 2018/19
Baada ya nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 2018 kufunga goli lake la kwanza dhidi ya KAA Gent akiwa na KRC Genk toka afanye hivyo kwa mara ya mwisho October 25 2017 katika mchezo dhidi ya Club Brugge, maneno yake baada ya kufunga...
Elizabeth Michael ‘Lulu’ Ameachiwa Kutoka Gerezani.
Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu Lulu,amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ambaye...
Ngorongoro Heroes yachezea kichapo,Yajiweka Katika Mazingira Magumu ya Kufuzu.
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20, imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa timu ya vijana ya Mali kwenye mchezo uliomalizika jioni kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.Ngorongoro imejiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu hatua inayofuata ikiwa na kazi ya kubadili matokeo ugenini ili iweze kushinda na kufuzu kutokana na kuruhusu mabao ya ugenini...
Serikali Yaagiza Tani 70,354.35 za Sukari Kutoka Nje ya Nchi…..Tizeba Asema Hakutakuwa na Upungufu.
Na Bashiri Salum, DodomaSerikali imeagiza sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa ni kujipanga ili kuhakikisha kuwa hapatokei upungufu wa bidhaa hiyo hapa nchini.Akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni waziri wa kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba amesema kuwa tani 60,539.35 ya sukari itaanza kuingia hapa nchini katikati ya mwezi Mei 2018 ambapo kiasi kilichobaki...
Fisi Avamia Wapenzi na Kuua Mmoja……Mwingine Kajeruhiwa Vibaya.
Mkazi wa wilayani Igunga, mkoani Tabora ameuawa na fisi na mwingine kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na mnyama huyo katika Kata ya Ziba, wakati wakirejea nyumbani kutoka kwenye klabu ya pombe.Azizi Kombe, Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ziba, alimtaja aliyeuawa ni Mwajuma Masanja (37), mkazi wa Kijiji cha Iduguta wilayani Nzega na Shija Maneno (35), mkazi wa Kitongoji cha Ipuli...
Hamisa Mobetto ‘Wema Sepetu Anaroho Nzuri Sana, Siku Shangaa Alivyobariki Diamond Anioe.
Mrembo Hamisa Mobetto amehojiwa na Wasafi TV kuhusu kauli ya Wema Sepetu ya Kubariki Diamond Kumuoa na amefunguka hivi"Ni Kitu ambacho kutoka kwa Dada Wema is not a suprise coz unajua nini Dada Wema ana roho safi hawezi kusema kitu ambacho hamanishi coz namjua alivyo na hana tatizo na couple yetu ni kama ametupa baraka" Hamisa
Wema Sepetu Abariki Diamond, Mobetto Kufunga Ndoa.
DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ametoa baraka zake kwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amuoe Video Queen Hamisa Mobeto endapo watafikia uamuzi huo.Kabla ya kufunguka hayo, Wema na Mobeto walikuwa hawaivi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na wawili hao ‘kubanjuka’ na Diamond kwa nyakati tofauti.Akizungumza na Risasi...