Skendo ya Kumtelekeza Mtoto, Mbasha Yamkuta ya Ali Kiba.
DAR ES SALAAM: Mambo ni hivi! Achana na staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ kuburuzwa mahakamani kwa kushindwa kutoa matunzo ya mtoto, mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha naye amekutwa na skendo kama hiyo baada ya kudaiwa kumtelekeza mwanaye mwenye umri wa miaka mitatu, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukuletea mkanda kamili. Chanzo makini kililieleza Risasi Mchanganyiko kwamba, hivi...
Kondakta Atiwa mbaroni kwa kukutwa na vipodozi vilivyopigwa marufuku.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia kondakta wa kampuni moja ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Mbeya,baada ya kumkuta na vipodozi vilivyopigwa marufuku.Mtuhumiwa huyo mkazi wa Kitunda jijini Dar es Salaam alikutwa akiwa amehifadhi vipodozi hivyo katika mifuko miwili ya plasitiki na kwenye boksi.Akizungumza leo Jumatano Mei 16, 2018 Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Mahakama Yaibana Serikali kesi ya mhasibu Takukuru.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa upande wa mashtaka kuhakikisha wanakamilisha kuchapa maelezo ya washtakiwa wa kesi ya kumiliki mali zisizoendana na kipato, inayomkabili mhasibu mkuu wa Taasisi na Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai na wenzake watatu.Mbali na Gugai, washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni George Makaranga, Leonard Aloys na Yasini Katera na...
Ali Kiba ‘Mimi ni Mswahili Hasa’
Msanii wa muziki nchini Alikiba amewataka watanzani pamoja na wasanii kujivunia kutumia lugha ya Kiswahili kwasababu ni lugha kubwa na watu wengi Duniani hutamani kujifunza lugha ya Kiswahili.Alikiba amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari na amedai kuwa watanzania wanapaswa kujivunia kuitwa waswahili na wasione aibu na kuongeza kuwa hata katika nyimbo zake amekua akitumia kiswahili kama kuonesha...
City Wamebeba Ubingwa Lakini United Watapewa Pesa Nyingi Kuliko Wao,Sababu ni hii.
Msimu wa EPL 2017/2018 unakwisha rasmi Jumapili ya jana, na mabingwa wameshapatikana ni Manchestwe City huku pia timu zinazoshuka daraja zimeshajulikana ni Stoke City, Swansea na West Bromich Albion.Kushinda kwa Manchester City kunamaanisha watapewa £153.2m kutoka PL, pesa hizi ni kutokana na namna ambavyo mechi zao zimerushwa na pia kuna kiasi cha pesa ambacho timu zote za EPL hupewa.Iko...
Hii hapa Ndinga mpya ya Diamond Platnumz Toyota Land Cruiser 200 Series 2018.
Katika ukurasa wa instagram wa tttrautouprades , wabunifu na waongeza vionjo vya shape za magari makali wameonyesha ndinga jipya la Diamond Platnumz.
Lulu Michael Kufanya Usafi Wizara ya Mambo Ndani.
JESHI la Magereza limemwachia msanii Elizabeth Kimemeta Michael, maarufu 'Lulu' aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka miwili katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam, ili atumikie adhabu yake akiwa nje.Akiwa nje, Lulu (22) amepangiwa kufanya kazi za huduma ya jamii katika viunga vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kwa mujibu wa amri ya Mahakama Kuu Tanzania, Kanda...
Rayvanny Ampigia Salute Ali Kiba,Amtaja Katika Wasanii Wanaofanya Vizuri.
MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.Akifanya mahojiano na Global TV Online, rayvanny amewataja wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania hasa katika tasnia ya muziki ambapo mbali na Kiba alimtaja pia Diamond na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwamba wanaipeperusha vyema bendera...
Mama Kanumba Tena “Nimeumia Sana Lulu Kutoka Gerezani, Presha Imepanda na Nimekosa Usingizi”
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala.Mama Kanumba amesema, tangu alipopata tetesi za msanii huyo ametoka jela, amejikuta anakosa usingizi na kuumwa presha.Ameongeza na kusema, kutokana na suala hilo, imemlazimu jana Jumatatu kwenda kwenye maombi kwa ajili ya afya yake hiyo.Amesema, licha ya...
Kauli ya Mama Kanumba Baada ya Kusikia Lulu Michael Ametolewa Gerezani.
Mtangazaji mmoja wa Clouds Plus baada tu ya kusikia kuwa Lulu Amebadilishiwa kifungo na kutoka gerezani alimua kunyanyua simu na kumpigia mama Kanumba na kumuuliza kuhusu hilo, na Mama Kanumba akajibu hivi"Mimi sina la kusema bali ninamshukuru Mungu, na ninaomba yaishie hapo ,Serikali iliamua kumweka ndani na sasa imeamua kumtoa mapenzi ya Mungu yatimizwe" Mama Kanumba