Home Uncategorized Rayvanny Ampigia Salute Ali Kiba,Amtaja Katika Wasanii Wanaofanya Vizuri.

Rayvanny Ampigia Salute Ali Kiba,Amtaja Katika Wasanii Wanaofanya Vizuri.

1
0



MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.

Akifanya mahojiano na Global TV Online, rayvanny amewataja wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania hasa katika tasnia ya muziki ambapo mbali na Kiba alimtaja pia Diamond na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwamba wanaipeperusha vyema bendera ya Tanzania Kimataifa.

 VIDEO;



Previous articleMama Kanumba Tena “Nimeumia Sana Lulu Kutoka Gerezani, Presha Imepanda na Nimekosa Usingizi”
Next articleLulu Michael Kufanya Usafi Wizara ya Mambo Ndani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here