Mrisho Mpoto Ft Harmonize | Mpoto amuweka Harmonize kwenye ngoma yake mpya.
Uliwahi kufikiria kama unaweza ukamuona msanii kama Harmonize kwenye ngoma ya Mrisho Mpoto? Basi wawili hao tayari wameshapika ngoma ambayo inaweza ikasikika kwenye masikio yako muda wowote. Tena wimbo huo unaonekana kupewa jina la Mjomba kutokana na ujumbe ambao ameuandika Harmonize kwenye mtandao wa Instagram akimshukuru Mpoto kwa kumuweka kwenye wimbo huo ambapo ilikuwa ni ndoto zake za siku nyingi kufanya...
Ali Kiba Awachana Mastaa wa Kike Bongo.
NYOTA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Ally Kiba, amewataka wanawake maarufu kwenye soko la muziki na filamu Tanzania, kuitumia ipasavyo mitandao ya kijamii kwa manufaa ya maisha yao ya sasa na baadaye.Kiba, anayetamba na ngoma ya ‘Mvumo wa Radi’, aliyasema hayo juzi alipohojiwa na kituo kimoja cha runinga jijini Dar es Salaam.Katika mahojiano na mwandishi wa runinga...
Mwanamuziki Justin Bieber Amrudia Mungu.
NYOTA wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ameanza kurudi kanisani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Selena Gomez, kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema ‘hawezi kurudi nyuma’.Kauli hiyo ya Selena imekuja mara baada ya kutangaza kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mpya hivi karibuni.Aliyekuwa mpenzi wa staa wa pop, Justin Bieber, Selena Gomez, amezidi kumchanganya staa huyo baada...
TRA Yatishia Kuuza Makontena 20 ya Paul Makonda.
Mamlaka ya Mapato (TRA), imetangaza kusudio la kupiga mnada kontena 20 za Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa atashindwa kuzilipia ushuru na kuzichukua ndani ya siku 30 kuanzia Jumatatu.Kontena hizo za Makonda ambazo zimesubiri utaratibu wa kuzitoa TRA kwa zaidi ya siku 90 zinazokubalika kwa mujibu wa sheria za kodi, zimesheheni samani za ndani na...
Kibatala Aiomba Mahakama Ifute Mashtaka Kesi ya Mbowe na Wenzake.
Upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, umeomba Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kutupilia mbali mashtaka dhidi ya washtakiwa kwa kuwa yanamapungufu, kisheria.Maombi hayo yamewasilishwa jana Mei 16, 2018 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilabard Mashauri na Wakili Peter Kibatala, ambaye aliwasilisha mapingamizi nane ya kisheria ‘yanayoshambulia’...
Trump Afichua Mchepuko Wake.
Rais wa Marekani Donald Trump amekiri kuwa alirejesha fedha kwa wakili wake baada ya kumlipa nyota wa filamu za ngono Stormy Daniels ili kumzuia kufichua uhusiano wao.Ofisi ya Maadili ya Serikali ya Marekani imegundua kuwa Trump huenda alifichua malipo hayo akitangaza matumizi ya fedha awali.Matumizi hayo ya fedha yanaonyesha kuwa alimlipa Michael Cohen kwa matumizi ya fedha ya mwaka...
Alicholazimishwa Sugu kufanya akiwa gerezani.
Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, amesema alishangazwa na kitendo cha kusikia imepigwa simu kutoka juu, na kueleza kwamba ni lazima yeye na Masonga wavae sare za jelaAkizungumzia suala hilo Sugu amesema kwamba kitendo hicho kilimshangaza kwani kulikuwa kuna watu wengine wengi walikuwa hawana sare na wamefungwa mule muda mrefu lakini walikosa sare,...
Nimeshawishiwa Kuhamia CCM- Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, amesema amewahi kushawishiwa na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kuhamia chama hicho tawala.Ole Sosopi amesema hayo leo Mei 16 akiwa studio za EATV katika kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kila siku ya Jumatano kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 za jioni na kuongeza kuwa yeye hana...
Mwakyembe Noma, Afukua Utajiri wa Marehemu Kanumba.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George MwakyembeSIFA anazomwagiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George Mwakyembe mitaani, zinatosha kusema kuwa waziri huyo ni noma katika uchapakazi wake.Dawati la Ijumaa ambalo kila siku halipoi kusaka habari ziliokwenda shule limebaini kuwa Dk Mwakyembe amekuwa kiongozi anayetajwa na wananchi wengi hasa wasanii kuwa anamudu kuingoza...