TAARIFA KUTOKA IKULU JUU YA RAIS MAGUFULI NA MECHI YA SIMBA SC

0

Leo May 19, 2018  Imethibitishwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli atashiriki katika zoezi la kupokea Kombe la Ubingwa wa CECAFA pamoja na kuwakabidhi kombe la mabingwa wa michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara mabingwa wapya Simba SC. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais- Ikulu, Gerson Msigwa amesema Rais Magufuli ataungana na wanamichezo katika uwanja...

Maskini, Mwanafunzi Afariki kwa Mlipuko wa Simu ya Mkononi.

0

Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu.Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha tukio hilo ambapo amesema limetokea Mei 17, mtaa wa Igoma Mashariki jijini Mwanza.“Baada ya kutoka shuleni, marehemu akiwa na watoto wenzake alianza...

Bashe “Ukisema Ukweli Unaambiwa Unamchukia Magufuli.

0

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussen Bashe (CCM), amesema kwamba Bungeni kumekuwa na siasa mbaya za kuamini kila anayesema ukweli anamchukua Rais Magufulii ilihali anaisaidia serikali kuikumbusha mapungufu yake na kuyafanyia kazi ili kuboresha utendaji na kupeleka maendeleo kwa wananchi.Bashe amesema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Ijumaa, Mei 18, 2018 wakati akichangia hoja kuhusu Bajeti ya Wizara ya Mifugo na...

Mama Diamond Afunguka Kumshushia Kipigo cha Nguvu Hamisa Mobetto…Kisa Kizima Hichi Hapa.

0

BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amempa ‘vitasa’ mwanamitindo Hamisa Mobeto, Ijumaa limemtafuta bi mkubwa huyo na kufanya naye mahojiano maalum (exclusive) ambapo amefungukia sakata hilo kwa kirefu.Mama Diamond alifungukia hilo la kumpiga Mobeto ambaye amezaa mtoto mmoja na mwanaye, Jumanne iliyopita katika mahojiano maalum...

Kijana Mwingine wa Kitanzania Auawa Nchini London Kwa Visu.

0

KIJANA wa Kitanzania kutoka Zanzibar mwenye umri wa miaka 24 (jina bado halijafahamikia) aliyekuwa nchini Uingereza, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa visu na watu wasiojuliakana jana Alhamisi Mei 17, 2018 jioni huko Barking London.Polisi jijini London wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema walipewa taarifa na mtu wa karibu wa kijana huyo, walipofika walijitahidi kumpatia huduma ya kwanza lakini alipoteza...

Sugu Mzuri, Niko Tayari Kumpa Tena- Faiza Ally

0

Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na...

“Naogopa Kufilisika Ndio Maana Sitoi Nyimbo Mara Kwa Mara” – Alikiba

0

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya 'Mvumo wa radi', Alikiba amesema ana uwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anaogopa kufirisika.Kiba amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio ambapo amesema kuwa anauwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anahofia kufirisika kwakuwa muziki unatumia pesa.“Sio kama siwezi kuachia...

Wachungaji Watatu Waliodai Wana Uwezo wa Kufufua Maiti Wanusurika Kichapo.

0

MPANDA, KATAVI: Wachungaji watatu waliodai wana uwezo wa kufufua marehemu wamenusurika kupigwa na wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu Raymond Mirambo katika kijiji cha SitalikeMwenyekiti wa kijiji, Christopher Angelo, alisema tukio hilo lilitokea Mei 7 ambapo wachungaji hao walifika katika ofisi ya Kijiji na kujitambulisha kuwa wao ni wachungaji kutoka Kijiji cha Nsimbo na wameitwa na ndugu wa marehemuBaada...

JPM “Ningekuwa na Uwezo Ofisi zote za Serikali Wangekunywa Maji ya Uhuru Peak”.

0

MGULANI, DAR: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akinywa maji ya Uhuru Peak yaliyotengenezwa na kiwanda cha SUMA JKT, jana Mei 17, katika ufunguzi wa kituo cha uwekezaji cha Suma JKT-Rais Magufuli alisema "Mimi kuanzia leo nitakuwa mdau wa maji ya Uhuru Peak nitashangaa sana Waziri wa Ulinzi siku nikimtembelea ofisini kwake nikute anakunywa maji...

Wasichana 29 Tanga Wakamatwa Wakielekea Uarabuni Kuuza Figo.

0

TANGA: Wasichana 29 ambao baadhi yao wamekutwa na hati feki za kusafiria wamekamatwa wakiwa wanaelekea Uarabuni kupitia nchi ya KenyaInadaiwa wasichana hao walikuwa wanaelekea katika nchi hizo za Uarabuni kuuza figo kwa gharama kubwa pamoja na kufanya kazi za ndaniHivi karibuni Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkinga amewaonya wasichana hao juu ya vitendo viovu vinavyoweza kuwapata wakiwa huko ikiwa...