Beyonce anunua Kanisa kwa mamilioni ya pesa kupanua wigo wa dini ya ‘Beyism

0

Msanii maarufu wa muziki duniani, Beyonce amenunua jengo la kanisa kongwe mjini New Orleans nchini Marekani. Kanisa hilo ambalo limejengwa kwa mawe miaka ya 1900’s limemgharimu Beyonce kiasi cha dola $850,000 sawa na tsh bilioni 1.9 . Kwa mujibu wa taarifa kutoka mitandao mbalimbali ya burudani duniani ikiwemo TMZ na Shaderoom zinaeleza kuwa lengo la kununua kanisa hilo ni kueneza dini...

Hii ni mara ya 4 katika historia, Mourinho anatoka kapa

0

Pamoja na uwekezaji mkubwa wa zaidi ya £160m lakini kipigo cha bao moja kwa nunge kutoka kwa Chelsea katika fainali ya FA hapo jana kimewafanya United kumaliza msimu wa 2017/2018 bila kombe.Pamoja na kwamba hii ni mara ya kwanza kwa Mourinho kucheza misimu miwili ya ligi bila kikombe cha ligi, lakini hii ni mara ya nne kwa Mreno huyu...

Kipa Kaseja Kaomba Msamaha Simba ‘Nimewaumiza Sana Jana’.

0

Kwa taarifa yako kama ulikuwa hufahamu, wakati Simba ikitwaa ubingwa bila kupoteza mchezo golikipa wa wakati huo alikuwa ni Juma Kaseja.Kaseja huyohuyo ameizuia Simba kutimiza ndoto yake ya kumaliza msimu bila kufungwa baada ya kuokoa penati ya Emanuel Okwi dakika ya mwisho katika mchezo wa Simba dhidi ya Kagera Sugar. “Rekodi tuliweka sisi na mimi nikiwemo, rekodi ya kucheza mechi...

Chelsea imetwaa Ubingwa wa FA Mbele ya Man United

0

Club ya Chelsea ambayo pamoja na kupoteza nafasi ya kushiriki michuano ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 leo imefanikiwa kuwafuta machozi mashabiki wake kufuatia kupata ushindi wa FA mbele ya Man United katika mchezo wa fainali ya Kombe la FA katika uwanja wa Wembley.Chelsea leo imefanikiwa kutwaa Ubingwa huo kwa kuifunga Man United kwa goli 1-0, goli pekee...

“Hali ya Q Chief si Salama Anahitaji Msaada Mkubwa Sana”..Mke Afunguka

0

Mke wa msanii wa muziki wa bongo fleva Q Chief, anayejulikana kwa jina la Eliza, amesema kwamba mume wake anahitaji msaada zaidi, kwani hayuko sawa.Eliza ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, na kusema kwamba mume wake huyo ambaye kwa sasa wametangana, anaonekana hayuko sawa kwani amemfanyia vurugu na kumtolea maneno machafu, hivyo ni...

Vanessa Mdee Azidi Kupata Mafanikio na Albamu Yake Ya ‘Money Mondays’

0

Mwanamuziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee amezidi kufanya vizuri na albamu yake ya ‘Money Mondays’ kwani albamu hiyo imetajwa kuwa ndio inaongoza Afrika Mashariki nzima.Kupitia mtandao wa Boomsplay ambao unahusika na upakuaji wa nyimbo kadhaa umeweka wazi kuwa Albamu hiyo ndio kinara kupitia mitandao yao ya kijamii ambapo wameandika ujumbe huu:"Hongera nyingi sana kwake @vanessamdee kwa kuwa na albamu...

Sakata la Kichapo cha Mama Diamond Kwa Hamisa Mobetto, Familia Yaingia Katika Vita Nzito.

0

Kama ni nyumba kushika moto, basi huu moto wa Madale ni wa gesi maana unaunguza hatari na mpaka sasa unaambiwa ‘faya’ hawana taarifa zozote kwani hakuna aliyepiga namba yao ya dharura 114 ili wafike eneo la tukio! Kitendo cha mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim a.k.a Bi Sandra kumchezeshea kichapo kizito mwanamitindo Hamisa...

Zari Asema Hawezi Kumpeleka Diamond mahakamani kwa Sababu ya Matunzo ya Watoto

0

Mwanamama Zari the Bossy Lady ambae alibahatika kupata watoto wawili na msanii Diamon Platinumz lakini baadae wawili hao walikuja kutengana hivyo Zari kuondoka na watoto na kwenda nao afrika kusini amefunguka na kusema kuwa hata siku moja hawezi na hajawahi kufikiria kwenda kumpeleka mwanaume huyo mahakamani kwa sababu ya matunzo ya watoto.Akiongea na waandsihi wa habari nchi Kenya, Zari...

Chelsea vs Manchester United: Fainali ya kombe la FA Leo hii.

0

Leo kwenye uwanja wa wembley tutashuhudia fainali ya FA kati ya Chelsea na mashetani wekundu "Manchester United",mchezo utakaochezwa kuanzia saa 19:15(saa 1 na robo usiku).

BILL NASS ADAI ANAKUTANA NA NANDY POLISI TU

0

Msanii Bill Nass amesema tangu ilipovuja video yake ya faragha akiwa na Nandy, wamekutana mara moja tu. Hata hivyo hilo halimaanishi kuna kitu hakipo sawa kati yao, hapana!, wao bado ni marafiki na kilichotokea ni sehemu ya kujifunza. “Tangu niliporudi nimeonana na Nandy mara moja tu, siku tulipoenda polisi kutoa maelezo nini kimetokea, nilizungumza nae tu kutaka kufahamu kuhusiana na kesi...