Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi Bila Ruhusu..Faini Itakuacha Mdomo Wazi.
#IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheria akivaa bila ruhusa ya Rais vazi rasmi la Jeshi lolote au vazi linalofanana na vazi rasmi au kuwa na alama yoyote ya Kiaskari atakuwa ametenda kosaMtu aliyetenda kosa hilo atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja...
Breaking News: Maafisa Watatu wa TIC Wafariki Dunia Kwenye Ajali ya Gari
MAOFISA watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha nchini (Tanzania Investment Center (TIC) wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalinze wakiwa njiani kuelekea jijini Dodoma.Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research).Waliopata majeraha ni wawili...
Alichokisema Hamisa Mobetto Kuhusu Kupigwa na Mama Diamond.
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka kuhusu taarifa zilizodai kuwa amepigwa na mama mzazi wa Diamond Platnumz, Sanura Kassim ‘Sandra’.Hapo jana katika uzinduzi wa kipindi cha Nyumba ya Imani cha Wasafi TV, Hamisa alipata time ya kuzungumza na waandishi wa habari na kusema jambo hilo ni binafsi zaidi ila kugombana kwa binadamu ni kitu cha kawaida.“Hilo siwezi kuliongelea, yeah!. is too...
Zitto Ahoji Uhalali Wa Mkuchika Kukaimu Uwaziri Mkuu
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amehoji ni kwanini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, George Mkuchika akaimu nafasi ya Waziri Mkuu bungeni wakati kanuni za bunge haziruhusu.Amesema kwa mujibu wa kanuni za bunge, mwenye sifa ya kukaimu nafasi hiyo ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi ambaye ndiye ana muda mrefu bungeni.“Uwepo...
Tanzania Hatuna Bahati Kwenye Mpira..Ngorongoro Heroes yafungashiwa vilago U20.
Vijana wa timu ya taifa chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wametupwa pembeni ya mbio za kuwania tiketi za Fainali za U20 Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 na wenyeji, Mali kwenye Uwanja wa Omnisports Modibo Keita mjini Bamako.Matokeo hayo yanamaanisha Tanzania inatolewa katika mchakato wa kuwania tiketi ya Niger mwakani kwa jumla ya mabao 6-2, baada...
Kichuya Azuiliwa na Baba Yake Kuongeza Mkataba Mwingine Simba
BABA Mzazi wa Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya mzee Ramadhani Kichuya amemzuia mwanaye kuongeza mkataba mwingine mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi atakapojua muafaka wake wa kwenda klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.Mazembe ni kati ya klabu zilizoonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika juni mwaka huu wakati Ligi Kuu Bara ikiwa...
Aliyepasuliwa Kichwa Badala ya Mguu Kulipwa Milioni 100.
Mahakama Kuu imeamuru Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu ya MOI kumlipa fidia ya Milioni 100 Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu kutokana na madhara aliyoyapata ya kimwili na kiufahamu ikiwemo kupooza.Mahakama imetoa amri hiyo baada ya Didas kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya taasisi hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya...
Diamond Sheik Kipozeo Wazindua Kipindi cha ‘Nyumba ya Imani’ cha Wasafi TV
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na Shekhe maarufu jijini Dar, Shekhe Kipozeo, usiku wa kuamkia leo walishirikiana kuzindua kipindi kipya cha runinga kinachojulikana kwa jina la Nyumba ya Imani, ambacho kitakuwa kikirushwa kila siku ndani ya Wasafi TV.Uzinduzi huo ulioambatana na futari, ulifanyika katika jengo la ofisi za Wasafi TV, zilizopo Mbezi Beach jijini Dar es...