Home Uncategorized Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?.

Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?.

1
0

Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake utunzi wake.

Pia amekuwa akiwatungia nyimbo wasanii wa Bongo Flava kama  Baraka The Prince na wengine

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

Previous articleMasikini! Zari Azidi Kuteswa na Kifo cha Ivan Don Amuandikia Ujumbe Huu.
Next articleNina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake..Nifanyaje Niache?.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here