Home Uncategorized Kuhusu Kurudi Lissu Familia Yafunguka Haya.

Kuhusu Kurudi Lissu Familia Yafunguka Haya.

1
0

Kuhusu Kurudi Lissu Familia Yafunguka Haya



FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai mbunge huyo anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote baada kupona majeraha ya risasi anayotibiwa huko Ubelgiji.

Alute ambaye pia ni Mwanasheria wa kujiegemea, amesema Lissu anatarajiwa kufanyiwa operesheni nyingine hivi karibuni huku akitoa rai kwa Watanzania kuendelea kumchangia ili aweze kufanikisha matibabu yake ya awamu ya tatu anayoendelea kuyapata nchini humo. 

Previous articlePicha: Show ya Diamond aliyofanya usiku wa kuamkia leo Uingereza.
Next articleTunda Akinukisha Tena Amtolea Povu Hamissa Mobetto Kisa Daimond.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here