Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo
Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezea Bonyeza PLAY hapa chini.
Mama ashiriki kumteka Mwanae ili apate fedha toka kwa Mumewe
Mama Rose Nantongo anatuhumiwa na Polisi nchini Uganda kushirikiana na mfanyakazi wake wa zamani Edward Matovu kufeki tukio la kutekwa kwa mtoto wake Vianney Ssebulime ili ajipatie fedha kutoka kwa mume wake.Polisi wamesema kuwa walipokuwa wakimhoji Matovu kuhusiana na utekwaji wa mtoto huyo aliiambia Polisi kuwa aliagizwa na mama wa mtoto huyo kumteka mwanae.Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi...
Tanzia: Sam wa Ukweli afariki
Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuzidiwa ghafla akiwa studio, mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo amesema Sam alikuwa akiumwa. Bonyeza PLAY kumsikiliza STEVE aliyekuwa na marehemu SAM WA UKWELI mpaka umauti ulipompata… FULL STORY: Kifo cha Sam wa Ukweli aliomba afungwe Pampers