Home Gossip Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo Gossip Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo By admin - June 7, 2018 9 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Telegram Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezea Bonyeza PLAY hapa chini.