TANZIA: Mwanamuziki Sam wa Ukweli afariki dunia, Mtu wake wa Karibu Afunguka
Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018 baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala.Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake na Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business ambaye aneeleza kwa masikitiko makubwa kuwa Sam amefariki dunia na kumtakia kupumzika kwa amani.“Siamini kilichotokea...
Simba Ipo Vizuri Sasa Kuja na Tuzo Zake Maalum Mo Dewji Simba Awards
Mfanyabiashara maarufu Tanzania ambaye pia ni muwekezaji kwenye klabu ya Simba, leo ametangaza rasmi kuwa ameanzisha tuzo maalumu kwa klabu hiyo.Tuzo hizo ambazo amezipa jina la MO Simba Awards zitatolewa Juni 11, 2018 katika hoteli ya Hyatt Regency na zitakuwa na vipengele 16 ambavyo vimelenga mashabiki, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo.Kwenye Taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari akizungumzia...
Exclusive: Diamond Ndani ya Mjengo na Wanae Ndani ya South Afrika
Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao.
Akutana na Mwanaye Miaka 30 Baada ya Kuitoa Mimba
Akiwa na miaka 14, Melissa Ohden was 14 aliijuwa siri kubwa - mamake alijaribu kumuua akiwa angali tumboni.Aliokolewa na mhudumu wa afya aliyemsikia akilia katika taka taka za hospitali nchini Marekani.Hii ni hadithi ya uhai wake, na kuhusu mamake aliyedhani kwamba amekufa."Nili inukia nikijua kwamba nilizaliwa kabla ya kutimiza miezi 9, na kuwa niliasiliwa," Melissa Ohden, sasa ana miaka...
Askofu Afunguka Kuhusu Kifo cha Mapacha Maria na Consolata
Askofu Jimbo Katoliki Njombe, Alfred Maluma amesema vifo vya pacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti kinapaswa kuenziwa na Watanzania kukumbushana wajibu wao kwa watu wenye ulemavu."Wameacha somo hilo, tuwajali watu wenye ulemavu hilo ndilo somo walilotuachia Maria na Cobsolata," amesema Akofu Maluma leo Jumatano Juni 6, 2018 katika ibada ya kuaga miili ya pacha hao.Amesema Mungu aliwaumba pacha hao...
Rais wa TFF Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mchezaji wa Zamani wa Taifa Stars
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Ndugu Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Rajabu Digongwa aliyefariki huko mkoani Tanga.Rais wa TFF Ndugu Karia amepokea kwa huzuni na mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha mchezaji huyo wa zamani aliyefariki baada ya kuugua.Kwa niaba ya...
Watanzania Washauliwa Kukatia Bima Nyumba Zao
WATANZANIA wametakiwa kuzikatia bima nyumba zao ili wanufaike na fidia pindi nyumba hizo zikipatwa na majanga ya aina mbalimbali kama vile kuungua, kuharibiwa na mafuriko au majanga yoyote yale.Mwito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya Resolution, Maryanne Mugo wakati akizungumzia bima ya nyumba itolewayo na kampuni hiyo.Alisema, jamii inatakiwa kuwa na mwamko katika kujiunga na...
“UDF ni zaidi ya vyama vya siasa” – Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe Akizungumzia ushirikiano huo wa kidemokrasia (DeFront), Zitto anasema hilo ni vuguvugu litakalohusisha si vyama vya siasa tu, bali makundi mbalimbali katika jamii.Akizungumza na eatv.tv Zitto amefunguka kuwa Chama cha ACT Wazalendo Katika kikao chake cha Kamati Kuu cha Januari Mwaka 2018 kiliazimia kuwa ni muhimu kujenga mashirikiano na vyama vingine na makundi...
BAVICHA waitaka serikali kujifunza kupitia Mapacha
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limeitaka serikali kujifunza kupitia kifo cha mapacha walioungana, Maria na Consolata ambao wamefariki Jumamosi Usiku wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa Iringa.Kupitia tarifa ya salamu za rambi rambi iliyotolewa na Mwenyekiti wa BAVICHA, Patrick Ole Sosopi, amesema kuwa kama taifa inabidi kukubaliana na ukweli kuwa sekta ya afya...
Kisa Mume,Mwanamke Ajifungulia Polisi
Mwanamke mmoja Amina Rafael Mbunda (26) mkazi wa Kiswanya,kijiji cha Mgudeni,kata ya mwaya,Tarafa ya Mang'ula wilayani kilombero mkoani Morogoro,anadaiwa kujifungua nje ya kituo cha polisi baada ya kutolewa mahabusu alikokuwa akishikiliwa kwa tuhuma zilizomhusu mumewe aliyedaiwa kuhusika na ununuzi wa kitanda cha wizi.Mwanamke huyo aliyelazwa kituo cha afya mang'ula alikopelekwa na kulazwa baada ya kujifungua,amedai alikamatwa Juni mosi na...