Video | Dully Sykes–Zoom

0

WATCH VIDEO

Dk Tulia Amzuia Waziri Mkuu Kujibu Swali Waraka wa KKKT

0

Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amemkingia kifua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kujibu swali kuhusu Serikali kulipa siku 10 Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kufuta waraka wake wa Pasaka uliotolewa Machi 24, 2018, ambao mbali na masuala ya kiroho, ulitaja changamoto tatu za kijamii.Swali kuhusu KKKT iliyoandikiwa barua ya kutakiwa kufuta waraka huo na Wizara ya Mambo ya...

Polisi Waanza Uchunguzi Matapeli wa Meseji za Simu

0

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kitengo cha upelelezi wa makosa ya mtandaoni, (Cybercrime investigation unit) kimesema kuwa kinafanya uchunguzi kuwabaini wanaotuma ujumbe mfupi wa simu za mkononi kwa nia ya kuwatapeli wananchi.Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Makao makuu, Barnabas Mwakalukwa, leo imesema yeyote aliyetapeliwa anatakiwa kutoa taarifa katika kituo cha polisi...

Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay Kuhusu Kifo cha Sam wa Ukweli

0

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo kuthibitisha kuwa Sam wa Ukweli alikuwa akiumwa UKIMWI wa kulogwa....>>> “Sam alianza kuzidiwa toka J’mosi, tulipomuuliza anaumwa nini alisema UKIMWI lakini sio UKIMWI wa kawaida bali wa...

Aliyejitosa kwa Zari Afunguka ‘Tunajua Huwezi Kurudiana na Diamond’

0

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko ameonyesha kuchukizwa na tetesi za Zari kurudiana na Diamond.Utakumbuka hivi karibuni Ringtone alieleza hisia zake kuwa anataka kumuoa Zari, alienda mbali zaidi kwa kueleza kuwa alishanunua gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017 kwa ajili ya mrembo huyo.Soma Pia; Aliyetangaza kumnunulia Zari Range Rover Sport 2017 ala...

Rais Magufuli Amteua Athumani Mbuttuka Kuwa Msajili wa Hazina

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Athumani Selemani Mbuttuka  kuwa wa Msajili wa Hazina.Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi wa. Mbuttuka utaanza  Juni 6, 2018.Aidha, kabla ya uteuzi huo, Mbuttuka alikuwa Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Taifa (DAG) katika Ofisi ya...

Boyfrend Wangu Kanikataza Kumzungumzia Bill Nass- Nandy

0

Msanii wa muziki Bongo, Nandy amedai kuwa amekatazwa na Boyfriend wake kuzungumzia kile kilichotokea kati yake na Bill Nass.Muimbaji huyo ameiambia U-Head, Clouds FM kuwa hata alipokuwa katika media tour nchini Kenya ni kitu ambacho alikuwa anaulizwa mara kwa mara na kukiri kuwa kilikuwa kinamsumbua.“Kawaida nimefanya interview hayo maswali yalikuwepo, hakikuwa kitu kidogo kilienda mbali sana na kilinisumbua kiukweli...

Wastara Akosolewa Kujianika Adharani Kipindi Hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

0

MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.Licha ya kuweka picha hiyo kwa nia njema ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika ukurasa wake wa Instagram, baadhi ya watu walimkosoa kwa kumtaka afanye jambo hilo bila kujionesha lakini pia wengine walimpongeza.“Sasa wewe unaswali ama unaonyesha watu kama mcha Mungu...