Nilaumuni kwa ‘Bao la Mkono’ Sio kwa Hili la Jamii Forums – Nape Nnauye
Mbunge Mtama, Nape Nnauye amejikutaka akijibu hoja mbali mbali mtandaoni kufuatia mtandao wa Jamii Forums kusitisha kutoa huduma.Utakumbuka Jamii Forums wamefikia hatua hiyo kutokana na kanuni za maudhui ya kimtandao za mwaka 2018.Sasa Nape Nnaye alianza kueleza hisia zake kuhusu hilo kwa kuandika kwenye mtandao wa twitter; Hili la JF linafikirisha! Ukizuia watu kusema wayawazayo unaweza Kutana nao….. kimya...
Sakata la TCRA Kusitisha Oniline Media Latua Bungeni…… Saed Kubenea Awasha Moto
Sakata la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutekeleza kanuni za maudhui, limewasilishwa bungeni na mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea akitaka maelezo ya kina ya Serikali kwani inaminya uhuru wa habari.Kubenea akitumia Kanuni ya 47 (1) (2) (3) leo bungeni Juni 12, 2018 akitaka kuahirishwa kwa shughuli za Bunge ili kujadili suala hilo.“Kuanzia jana TCRA imesitisha usambazaji...
Sakata la Kuvuja kwa Video ya Faragha Haikuniachanisha na Nandy- Bill Nass
Msanii Bill Nass amesema stakata la kuvuja kwa video ya faragha kati yake Nandy haukumuachanisha na mpenzi wake.Rapper huyo amesema kwa kipindi hicho mpenzi wake ndio alikuwa mtu wake wa karibu zaidi.“Hapana sijaaachana na mpenzi wangu nipo naye hadi sasa na ndio mtu pekee nilikuwa nawasiliana naye kila saa. She is very clever anajielewa, alitazama kwanza, alijua, akaangalia ni...
Kubenea Awapigania Wanaume Wenye Wake Zaidi ya Mmoja
Serikali inaangalia namna ya kuhakikisha wanaume wenye wake zaidi ya mmoja wanaingiza wenzi wao hao kwenye huduma ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Ahadi hiyo ilitolewa jana bungeni jijini hapa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Joseph Kakunda.Kakunda alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza...
A-Z Kuhusu Ajali Iliyoua Wanafunzi wa UDSM
Katibu Mteule wa Serikali ya Wanafunzi kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Hussein Amri Aman, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu mwanafunzi Maria Godian Soko aliyefariki dunia kwa ajali kuwa alikuwa mjamzito na kwamba zinapaswa kupuuzwa.Amri ameyasema hayo wakati akizungumza na www.eatv.tv, ambapo ameeleza kwamba marehemu Soko alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya pumu na...
Daimond Kumbe Shabiki Mkubwa wa Timu ya Simba? “Siwezi Kujiita Simba Nikashabikia Chui”
Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuhusu timu anayoshabikia hapa Bongo, Dimond Platnumz ameamua kuweka wazi.Akiongea na Wasafi TV usiku wa jana kwenye ugawaji wa tuzo za Mo Simba Award 2018, msanii huyo amesema yeye hawezi kujiita Simba akashabikia Chui.“Sikuzote unajua siwaambiagi watu mimi ni timu gani, mimi ni Simba. Mimi siwezi kujiita Simba nikashabikia Chui. Mimi ni Simba...
Polisi Yakanusha Kuhusu Taarifa za Muuguzi Kuuliwa na Askari
Yakiwa yamepita masaa machache tokea zilipovuma tetesi za mauji ya muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya askari Polisi mkoani humo, Jeshi la Polisi limefunguka na kukanusha taarifa hizo huku wakiwataka waandishi wa habari kuacha kuandika vitu kwa mihemuko bila ya kufuata utaratibu.Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Ahmed Msangi wakati alipokuwa anazungumzia juu ya tukio hilo na...
Nipo Bize na Maandalizi ya Kumpokea Wifi Yangu Zari- Esma
DADA wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnamuz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, mwezi huu wote yupo bize kumsubiri mzazi mwenza wa kaka yake huyo ambaye ni wifi yake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.Akizungumza na na Over Ze Weekend, Esma alisema kuwa, hawezi kuielezea furaha aliyonayo juu ya kurejea tena kwa Zari ambaye walikuwa hawajamuona...