Mbunge Sugu Aachiwa Huru Atoka Gerezani.
Mbunge wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameachiwa huru kutoka gereza la Ruanda, Mbeya alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.Sugu...
Mnyika na Bulaya Watolewa Bungeni.
Naibu Spika Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Kibamba Mhe. John Mnyika na Ester Bulaya kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge kwa kile alichodai kutoheshimu...
Ebitoke Atoboa Siri “Bikira Yangu Nilimpa Ben Pol Aitoboe”.
Msanii wa vichekesho bongo Ebitoke, ameweka wazi kuwa ahadi aliyomuahidi kumpa Ben Pol alishaitekeleza hivyo watu wasijiulize sana.Akiongea na EATV, Ebitoke amesema kuwa licha...
Dawa mpya ya kutibu upara yapatikana.
Tiba ya kutibu upara imepatika. Dawa ya tiba hiyo ilikuwa hapo awali ikitumika kutibu mifupa.Je ukosefu wa nywele kichwani humfanya mtu kutojiamini? Tuwasiliane kwenye...
Mlinda Mlango wa Azam Anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora Mlinda mlango...
Mlinda mlango wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa timu hiyo mwezi Machi baada...
Yanga Yaogopa Kuvunja Mikataba na Wachezaji Wake Kuhofia Hasara.
Baada ya wachezaji baadhi wa Yanga kutoonekana dimbani kwa muda mrefu, uongozi wa Yanga umesema unahofia kuvunja nao mikataba kwa hofu ya kupata hasara.Donald...