Yanga Kuvaana na Prisons Leo Ikiwa Pungufu.
Kikosi cha Yanga kinateremka dimbani Sokoine jioni ya leo kuvaana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.Uongozi wa Yanga umesema unataka kutengeneza...
Jeshi la Magereza: Sugu Ametoka kwa Msamaha wa Rais.
Jeshi la Magereza limesema mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametoka kwa msamaha wa Rais John Magufuli alioutoa kwa wafungwa katika...
Zitto Kabwe Agoma Kumpa Pole Sugu Baada ya Kutoka Gerezani “Siwapi...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amesema kuwa amefurahi kuona Mbunge mwenzake wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kwa...
Sijui Kilichonifanya Niachiwe Kwani Nilijua Nitaachiwa Huru Mwezi wa 6- Mbunge...
Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambaye ameachiwa huru leo kutoka gerezani alikofungwa akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel...
Alichokisema Mbowe Baada ya Sugu Kuachiwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema kwamba baada ya Sugu kuachiwa hatakwenda Bungeni moja kwa moja licha ya kwamba Bunge linaendelea, ila watamuacha...
Ebitoke Ashindwa Kumuelewa Shilole ” Mi najua ni Mpishi Tu”
Mchekeshaji maarufu wa kike nchini Tanzania, Ebitoke ameshindwa kuelewa kama Shilole ni msanii wa muziki au muigizaji kwani hafahamu hata kazi moja ya sanaa...
Yanga Yaipigia Saluti Simba “Kwa Hali Ilivyo Simba Ndiyo Mabingwa”.
HATIMAYE benchi la ufundi la Klabu ya Yanga limeamua kukubali kuwa wapinzani wao Simba kwa msimu huu ndiyo mabingwa huku wao sasa wakijipanga kuelekeza...
Kuna Wasanii Wanatoa Nyimbo Mbaya wanabaki Wanakomaa na Ma-interview tu-Ommy Dimpoz.
Wasanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amesema kuna baadhi ya wasanii ‘wanatoa’ nyimbo mbaya ila wasanii wanzao wanaogopa kuwaambia.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na...