Tunda Man Asaliti Wana…Adai Alikiba Amemzidi Diamond Mbali.
Msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka na kusema kuwa mashabiki wanaowashindanisha Alikiba na Diamond wanakosea.Muimbaji huyo kupitia Refresh ya Wasafi TV amesema kuwa...
Producer wa Mariah Carey,Michael Jackson afanya kazi na Vanessa Mdee(@VanessaMdee).
Vanessa Mdee amekuwa akipambana kwa kila hali kuhakikisha muziki wake unafika mbali zaidi. Msanii huyo amekutana na producer na audio engineer, Humberto Gatica ambaye...
Sallam SK alisaini kundi la Nany Kenzo, Diamond kuiachia video ya...
Meneja wa Diamond na AY, Sallam SK jana katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ametangaza kulisimamia Kundi la Muziki la Nanvy Kenzo.
Sallam amesema...
FULL TIME: PRISONS 2-0 YANGA,SIMBA MABINGWA 2017/2018 VPL.
Waliokuwa Mabingwa watetezi,Yanga wamepokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48...
Serikali Kutafuta Muwekezaji Mwingine Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi.
Serikali imesema ipo katika mchakato wa kutafuta muwekezaji mwingine katika awamu ya pili ya mradi wa mabasi ya mwendokasi ikiwa kama njia ya kujaribu...