Nandy Afunguka Kuhongwa Gari la Mamilioni.
SIKU chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa picha zake zikimuonesha akiwa na gari jeusi la mamilioni aina ya Mercedes Benz E-Class E320 CDI, msanii...
Ng’ombe waliokufa wakamatwa wakiingizwa Sokoni.
Mapema asubuhi ya leo katika Machinjio ya Tegeta lilikamatwa lori lililopakia ng’ombe waliokufa wakiwa tayari kuingizwa sokoni.Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi...
Yanga Hali Bado Tete, Yaambulia Kipigo cha Tatu Mfululizo.
Klabu ya Yanga bado ipo kwenye kipindi kigumu katika mapambano ya Ligi kuu vodacom Tanzania Bara kwani leo tena imeambulia kipigo cha goli 1-0...
Video ya ‘Mvumo wa Radi’ ya Alikiba yafanyiwa zengwe YouTube, mwenyewe...
Video ya wimbo wa ‘Mvumo wa Radi’ ya Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba imeelezwa kuwa imefanyiwa figisu figisu hususani kwenye suala la Watazamaji (Views)...
Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu...
Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United "Rui Faria" ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi...
Hii ndio sababu ya Rihanna kuvamiwa nyumbani kwake.
Hii ni nyingine ya kuifahamu kutoka kwa staa maarufu Marekani Rihanna ambapo inaripotiwa kuwa siku ya May 11,2018 alivamiwa katika nyumba yake iliyopo Holly...
Mwanaume Ajiua Kisa ‘Bili Kubwa’ ya Umeme.
Mwanaume mmoja, raia wa India ambaye anafanya biashara ya mboga za majani ameripotiwa kujiua jana May 10, 2018 baada ya kupokea bili ya umeme...
Mwanafunzi aliyejinyonga aagwa, wenzie wasimulia mazito.
Leo May 12, 2018 Luciana Olutu alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Makumira Arusha na amefariki dunia May 7 mwaka huu...
Hii imekaaje? Alikiba Amfananisha Diamond na “……….”
Jana ilikuwa siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya Kiba pale mawingu (Clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi...
Ummy Mwalimu apewa tuzo ya heshima.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM), amepewa...