Diamond Aingia Location na Miri Ben-Ari UK Kutengeneza Video ya Baila

0
Safari ya Diamond nchini Uingereza haijakuwa kwaajili ya kufanya show bali ameitumia kuteneneza video ya wimbo wake wa Baila ambapo mrembo Miri Ben-Ari amesikika...

Harmorapa-Nilialikwa Ila Nilikua Afrika Kusini.

0
☺☺☺☺☺☺☺ Baada ya ukimya mrefu msanii Harmorapa ameibuka na kueleza sababu ya kilichopelekea kupotea ghafla.Harmorapa amesema kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya Dar es Salaam...

OKWI AMPA TANO KHAMISI TAMBWE.

0
WAKATI kikosi cha Simba kikikaribia kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, mshambuliaji wa timu hiyo, Mganda, Emmanuel Okwi ametoa kauli ya kummwagia...

BILA MAPUMZIKO YANGA KUELEKEA MBEYA LEO,KUHUSU HALI ZA WACHEZAJI KIAFYA,MAMBO YAKO...

0
Na George MgangaKikosi cha Yanga kinaondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatano kuelekea Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

Baby J Afunguka Kilichomfanya Kuwa Kimya Kwenye Game.

0
WASWAHILI tuna msemo unasema, kila zama na mvua zake si, ndiyo? Sasa zama fulani hivi za nyuma, mwishoni kwa miaka ya 2000, mwanadada kutoka...

Toka Nijue Mapenzi Sijawahi Kuiba Mume wa Mtu-Thea.

0
WAKATI mastaa wengi wa kike Bongo wakizungukana na kuchukuliana mabwana, mkongwe wa maigizo Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amevunja ukimya kuwa, tangu ajue mapenzi ni...

Gospel Video | Bella Kombo–Umenibadilisha

0
VIDEO | Bella Kombo – Umenibadilisha | Download DOWNLOAD

Nandy adai yeye na Aslay ni miongoni mwa wasanii watano matajiri...

0
Jamani naanza kuona nandy akiweka Akili chini na kuanza kutumia matope.Huyu dada kafanya interview kwenye The playlist ya Times Fm na amesema eti akitaja...

TANZIA: Bilali Mashauzi Afariki Dunia.

0
Muimba Taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jana Jioni. Chanzo cha Kifo chake bado hakijawekwa wazi.Pumziko jema Bilal.