Sugu Kuwasha Moto Baada ya Kutoka Gerezani.

0
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi “Sugu'' amefunguka na kusema kuwa atawasha moto katika jiji la Mbeya Mjini pindi atakapotoka kutumikia kifungo chake...

OBF | @JideJaydee -Siwema

0
Lady JayDeeVerified account @JideJaydee Singer| Songwriter |Performer Dar Es Salaam, Tanzania youtu.be/RBeBx890Xpg Joined June 2009 Tweet to Lady JayDee

Shilole Ajipanga Kurudi shule Kuongeza Maarifa.

0
Baada ya siku chache zilizopita mrembo na mjasiriamali, Zewena Yusuf Mohammed aka Shilole kutembelea chuo cha National College of Tourism NCT kwaajili ya kujionea...

Serikali yafunguka kuhusu raia kupigwa na Polisi.

0
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema hakuna utaratibu wowote unaoipa mamlaka Jeshi la Polisi kupiga raia au wageni kama baadhi ya...

Tunda Man amchana Bob Junior.

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man ambaye hivi karibuni ameachia kazi mpya, amempa makavu Bob Junior baada ya kusema kuwa amekurupuka kuachia...

Serikali yatoa ufafanuzi juu ya upungufu wa mafuta.

0
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi...

Ndugu wa Masogange hawajapewa michango ya marehemu.

0
Ndugu wa marehemu Masogange wakiwemo wifi zake ambao pia ndio wanaishi na mtoto wake Sania, wamesema hawajapata taarifa zozote juu ya pesa ambazo zilichangwa...

Wolper Amtupia Dongo Zito Sarah Wa Harmonize na Kudai ni Mlezi...

0
Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Wolper amemtupia Dongo zito Sarah baada ya habari zake za kumtosa Harmonize na kumchukua Bodyguard wa Diamond, Mwarabu Fighter.Siku...