Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda…..Watatu Wafariki Dunia.

0
Watu watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kupata hitilafu katika...

Mtoto wa Masogange akataa shule hizi.

0
Mtoto wa video queen maarufu bongo Agnes Masogange ambaye alifariki mwishoni mwa mwezi uliopita,Sania Shaaban, amekataa kusoma shule za bweni ambazo ameahidiwa kusomeshwa na...

Huyu ndiye Refa Atakayechezesha Fainali ya Real Madrid na Liverpool,UEFA.

0
Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid...

Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond.

0
Weekend iliyomalizika mpenzi wa Harmonize, Sarah aliingia kwenye headlines za uzito wa juu mara baada ya kuibuka taarifa zilizodai anatoka kimapenzi na Bodyguard wa...

Penzi la Dillish na Adebayor Lavunjika Kisa Hiki Hapa.

0
Mshindi wa BBA mwaka 2013 kutoka Namibia, (The Chase) Dillish Mathews baada ya kudaiwa kuwa kwenye mahusiano na mwanasoka wa Togo na klabu ya...

Harmonize Afunguka Mazito Kuhusu Kuibiwa Sarah na Baunsa wa Diamond.

0
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter...

TFF Yapangua Ratiba ya Ligi Kuu.

0
Shirikisho la soka nchini kupitia kwa Bodi ya ligi (TPLB), limepangua mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kati ya Mbao FC na Ndanda...

Siku Nikki wa Pili Akipewa Uwaziri Atafanya Jambo Hili.

0
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki wa Pili amesema ili wasanii watambulike kama wafanyakazi ni lazima serikali itambue wasanii wanafaje kazi na...

Tazama Picha Jinsi Volacano Hai ilivyolipuka huko Hawii.

0
HAWAII: Moja kati ya Volkano hai Ulimwenguni yalipuka na kuharibu nyumba 26. Lava yaruka zaidi ya mita 100 hewaniTakribani watu 1,700 wamelazimika kuondoka katika...

Mafuta ya Kula Yaanza Kuhadimika Viwanda Vyasitisha Uzalishaji.

0
Sakata la kuzuiwa kwa meli mbili zenye tani 62,000 za mafuta ya kula katika Bandari ya Dar es Salaam, linatishia kuadimika kwa bidhaa hiyo...