Timu ya Manchester United ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Brighton,mechi ya ligi kuu uingereza iliyochezwa majira ya saa 4 jana usiku.
Goli lililofungwa na Pascal Gross katika dakika ya 57,Na Man United wamesalia na pointi zao...
MASTAA wa Yanga, Donald Ngoma na Amissi Tambwe, bado ni majeruhi na hawatarajii kurejea uwanjani hivi karibuni, sasa daktari mmoja mtaalam wa afya za wachezaji amefichua siri ya majeraha ya mastraika hao.Siyo Ngoma anayesumbuliwa na misuli na Tambwe anayeumwa...
Msanii mkongwe wa Bongo Flava, Man Dojo amesema nyumba yake iliyovunjwa ilikuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 150.Man Dojo amesema kiasi hicho cha fedha ni makadirio kutokana na mali ambazo zilikuwa katika nyumba hiyo.“Ile nyumba kwa thamani...
KIMENUKA! Muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amelikoleza bifu lake na mwanamitindo Hamisa Mobeto baada ya kumpa mashuti kuwa amejidhalilisha kurudiana na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa...
FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kupitia kwa msemaji wake Alute Mughwai Lissu, imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa mitandaoni zikidai mbunge huyo anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote baada kupona majeraha ya risasi anayotibiwa huko Ubelgiji.Alute ambaye pia...
Kufuatia nyumba yake iliyopo Kisarawe kupigwa alama ya X huku akisemekana anatakiwa aibomoe kupisha upanuzi, Komedian maarufu nchini, Lucas Mhavile ‘Joti’ amefungukia tukio hilo ambalo limevuta hisia kwa mashabiki wake na Watanzania wengine waliotaka kujua undani wake.Joti ameema; “Wanapanua...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wasioridhishwa na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi kukata rufaa kwake.Pia, amewataka wanasiasa wanaozungumzia matukio ya kupotea watu kuwa na ushahidi wa kutosha na kama hawana wasiyazungumze kwani...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Janeth Masaburi amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba kutoa taarifa bungeni juu ya vifo vya wanasiasa Chacha Wangwe aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila.Wangwe ambaye alikuwa...