Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeibuka na kukanusha vikali kuwa kitabu kinachosambazwa katika mitandao ya kijamii kinachoelezea viungo vya mwanadamu sio chapisho la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na wala sio miongoni mwa vitabu ambavyo vimesambazwa shuleni.Hayo yamebainishwa...
Baada Ya Davido kumzawadua Mpenzi wake Chioma gari wabongo walimsema sana kuwa Mond hajawahi mnunulia hata Rav 4.Hatimaye Bibie kajibu mapigo.Hongera kwake Hard work pays. She's one in a Million. 
Video vixen kutoka nchini Kenya, Vera Sidika ameweka wazi majibu aliyoyapata mara baada ya kwenda kupima Ukimwi.Mrembo huyo amepima ugonjwa huo hatari duniani akiwa na mpenzi wake Otile Brown ambaye ni msanii wa muziki nchini humo.Vera Sidika ametumia mtandao...
Prof. Joyce Ndalichako ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaka watu wanaosambaza kitabu mitandaoni  chenye picha ya mwili wa binadamu huku kikiwa kimekosewa  na kuongeza kwamba watu hao wana nia ya kuichafua serikali.Uamuzi huo umetolewa katika mkutano wa kumi...
Msanii wa nyimbo za Injili nchini Walter Chilambo ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Only You' amepewa nguvu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Erick Shigongo pamoja na msanii Jux katika kuhakikisha wimbo...
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara leo imetoa zuio la muda( temporary injuction) linalozuia matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulation) ambazo matumizi yake yalipaswa kuanza rasmi Mei 5, 2018.Mahakama imetoa zuio hilo baada ya taasisi sita...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa angalizo kwa Watanzania kuwa mitandao ya kijamii ni tofauti kabisa na vyombo vya habari kwa sababu habari zinazotolewa kwenye mitandao ya kijamii ni maoni ya watu binafsi na...
MBUNGE wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amesema kutokana tukio la kuuawa kwa mdogo wake Suguta Chacha kwa kuchomwa kisu na askari polisi haturudi nyuma kupigania haki za watu ili haki na usawa kushamiri katika nchi.Heche amesema hayo...
Diwani wa Mwanga Kaskazini  (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo amepandishwa kizimbani leo Ijumaa Mei 4, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma akikabiliwa na mashtaka matatu.Wakili wa Serikali, Antia Julius amesema mshtakiwa huyo alitenda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kula hela za serikali ni sawa na kula sumu na nafuu ule sumu kuliko kula hela ya serikali ya Awamu ya Tano.Rais Magufuli ameyasema hayo leo...