KIKOSI cha Yanga kimeondoka kwenda nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Af­rika dhidi ya wapinzani wao, USM Alger huku wachezaji saba wakid­aiwa kugomea safari hiyo.Yanga ambayo iliondoka jana Alhamisi, inatarajiwa kuvaana na Alger...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amesema kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na mwanamke yeyote maarufu nchini Tanzania na matukio yote ambayo yalikuwa yanatokea kipindi cha nyuma yalikuwa ni kiki tu.Ommy Dimpoz amedai kuwa hajawahi kutoka kimapenzi na...
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini ambaye pia ni muigizaji nwa filamu Jenifer Mgendi, ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya filamu nchini.Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sana na michezo, ambayo imetolewa rasmi May 2, mwaka huu.Kwenye...
Msanii wa Bongo Fleva Levocatus Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ambaye ni Diwani wa Kata ya Mwanaga Kaskazini katika Manispaa ya Kigoma Ujiji amepandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya mkoani Kigoma kwa tuhuma za kumpiga muuguzi...
First Lady kutoka Label ya WCB, Queen Darleen ametoa ushauri mzito kwa Harmonize kuhusu maisha yake ya kimuziki na mahusiano.Muimbaji huyo amemshari Harmonize kutokata tamaa na muziki wake ingawa watu wa kumkatisha tamaa wapo, huku akimsisitiza kuwa kuepeka kuwa...
Mke wa Prodyuza maarufu na mkongwe kwenye mziki wa Bongo fleva P Funk majani, Samira ameibuka na kudai atapambana na Kajala na kamwe hatamuachia nyumba.Kwa Miezi kadhaa Kumekuwa na tetesi kuwa PFunk na Ex wake ambaye pia ni mama...
Baada ya Simba kufanya mkutano wa kubariki mabadiliko ya mfumo Desemba 11, 2016 na wanachama kukubali,  Desemba 3, 2017 pia wanachama kwa pamoja walimpitisha Mfanyabiashara Mo Dewji kwaajili ya kuwekeza klabuni hapo na sasa wanaelekea kumkabidhi timu.Hatua hiyo imekuja...
Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuangusha bonge la sherehe ya harusi katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar, wasanii wa Bongo Muvi wameibuka na kumtolea uvivu staa huyo.NI KWA NINI?Mastaa hao...
Mwimbaji staa wa Bongofleva Nandy ambae juzi kati alikaa kwenye headlines na ishu ya kusambaa kwa video yake ya chumbani na Billnass, ameongea kwa mara ya kwanza na AyoTV na millardayo.com kuhusu kutangaza nguo ya ndani, tazama hii video...
Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women kwani ni kama neno lisilo sahihi.Nina mke wa muda mrefu sasa na mtoto mmoja, tulioana...