Rapper kutoka nchini Marekani, Nicki Minaj ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Chun-Li. Itazame hapa.
Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana Mei 05, 2018 amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye kichwa. Sir Alex Ferguson Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ukurasa rasmi wa Twitter wa klabu ya Manchester United, imeelezwa kuwa upasuaji...
"Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani"...
Aunt Ezekiel akiwa na mwanaeJe! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni..Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli...Nafasi niweze kuacha? 
Praise the lord..Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake utunzi wake.Pia amekuwa akiwatungia nyimbo wasanii wa Bongo Flava kama  Baraka The Prince na...
Aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ameonyesha ni kiasi gani anamkumbuka aliyekuwa mume wake, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye ni Marehemu kwa sasa.Zari ameshare picha ya zamani katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha Don akiwa na...
Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la kujiongezea mashabiki……Tazama ushuhuda wa picha hapo chini….