#CafCC Nchini Algeria mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi #KombeLaShirikisho umemalizika, na Yanga imepoteza pointi zote tatu kwa kupokea kichapo cha mabao 4-0.
INFO BARCELONA DWWDW 2 - 2 REAL MADRID DDWWD Competition La Liga Date 6 May 2018 Game week 36 Kick-off 21:45 Half-time 1 - 1 Full-time 2 - 2 Venue Camp Nou (Barcelona) Attendance 97939 GOALS L. Suárez 10'(assist by Sergi Roberto)  1 - 0 1 - 1 14' Cristiano Ronaldo (assist by K. Benzema) L. Messi 52'(assist by L. Suárez)  2 - 1 2 - 2 72' G. Bale (assist by Marco Asensio) LINEUPS 1M. terStegen18J. AlbaRamos23S. Umtiti3G. PiquéBernabéu20S. RobertoCarnicer8A....
Kikosi cha Azam Fc kimekubali kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa wapiga debe wa Stand United kutoka Shinyanga.Mabao ya Stand yamefungwa na Sabilo pamoja na Ally huku bao pekee la Azam likitiwa nyavuni na Shaaban Idd.Matokeo mengine ni Kagera...
Kikosi cha Simba kimeendelea kuunusa ubingwa wa Ligi Kuu kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC.Bao pekee katika mchezo huo limetiwa kimiani na Mshambuliaji wa kimataifa, Mganda, Emmanuel Okwi katika dakika ya 44.Okwi alifunga bao...
Hatimaye rapa Stamina amefunga ndoa  na mchumba wake wa muda mrefu ajulikanaye kwa jina la Veronica jana Mei 05, 2018 mjini Morogoro katika kanisa la Mtakatifu Consolata lilipo maeneo ya SUA mjini humo. Stamina na mkewe Veronica wakivishana pete. Kwenye harusi...
Klabu ya Chelsea inaikaribisha Liverpool leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu England.Chelsea watakuwa wanaialika Liverpool baada ya kushindwa kuutetea ubingwa wa ligi ikiwa ni baada tu ya kuutwaa msimu uliopita wa 2016/17.Timu hizi zinakutana...
Ligi Kuu Spain inaendelea leo kwa Mabingwa watetezi wa taji hilo FC. Barcelona wakiwa wanakawaribisha Real Madrid kwenye Dimba la Cam Nou. Barcelona wanashuka dimbani wakiwa tayari wameshanyakua ubingwa huo pamoja na Kombe la Mfalme huku wapinzani wao Madrid wakiwa...
Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea tena Jumamosi ya jana kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti. Singida United iliyokuwa katika Uwanja wake wa nyumbani imefanikiwa kuibuka na ushindi mnene wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji ya Jombe. Mabao hayo yalitiwa...